Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Wewe dish lako lisha yumba nakushauri anza doseUtasikia Yanga wanakuja wanasema wamepata bilioni 42 kwa mauzo ya Morrison
Kwani mchezaji wa Yanga yule?? Si walishaachana naye??Utasikia Yanga wanakuja wanasema wamepata bilioni 42 kwa mauzo ya Morrison
Sasa hizo timu zetu kwa kiwango utafananisha na hiyo Rabat?Timu za Tanganyika zimemkataa.
Aende kwao akamalizie kipaji chake.
Ohh naenda Azam mara Singida kumbe hamna kitu !!
Utasikia Yanga wanakuja wanasema wamepata bilioni 42 kwa mauzo ya Morrison
nabi hawezi kumchukua morrisonBaada ya dili lake kutokwenda vizuri na walima ALIZETI wa Singida Fountaingate ya mkoani Singida hatimaye aifuata OFA ya Kocha wake wa zamani NABI pale AS FAR RABAT.
Kama alikuwa anamuweka bench akiwa Yanga Kocha kaona nini mpaka amuongeze kikosini?Baada ya dili lake kutokwenda vizuri na walima ALIZETI wa Singida Fountaingate ya mkoani Singida hatimaye aifuata OFA ya Kocha wake wa zamani NABI pale AS FAR RABAT.
Yanga hawakuwa na mktaba na Morrison; mwaka jana walimpa mktaba wa mwaka mmoja tu ambao ameumaliza. Kilichotakiwa ni kumwongezea mkataba wakamkatalia; hivyo anaondoka akiwa free agent.Utasikia Yanga wanakuja wanasema wamepata bilioni 42 kwa mauzo ya Morrison
Yanga hawakuwa na mktaba na Morrison; mwaka jana walimpa mktaba wa mwaka mmoja tu ambao ameumaliza. Kilichotakiwa ni kumwongezea mkataba wakamkatalia; hivyo anaondoka akiwa free agent.
SarcasmKwani mchezaji wa Yanga yule?? Si walishaachana naye??
Mbumbumbu mna shida
Ushenzi upi alionao ?ACHA KUODHALILISHA TV YAKO.
ACHA KUIDHALILISHA JF.
ACHA KUJIDHALILISHA.
ACHA KUMUINUA SHETANI.
YULE MCHEZAJI HAFAI HAFAI KUENDELEA KUWEPO TANZANIA.
NA NABI HAWEZI KUWA NA MCHEZAJI MSH33NZI KAMA YULE.
USHINDWE.