Benard Morrison kujiunga na AS Far Rabat

Benard Morrison kujiunga na AS Far Rabat

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Baada ya dili lake kutokwenda vizuri na walima ALIZETI wa Singida Fountaingate ya mkoani Singida hatimaye aifuata OFA ya Kocha wake wa zamani NABI pale AS FAR RABAT.
 
Timu za Tanganyika zimemkataa.
Aende kwao akamalizie kipaji chake.

Ohh naenda Azam mara Singida kumbe hamna kitu !!
 
Nabi alisema asisajiliwe yanga sababu ya nidham sasa iweje amsajili huko Rabat
 
Baada ya dili lake kutokwenda vizuri na walima ALIZETI wa Singida Fountaingate ya mkoani Singida hatimaye aifuata OFA ya Kocha wake wa zamani NABI pale AS FAR RABAT.
Kama alikuwa anamuweka bench akiwa Yanga Kocha kaona nini mpaka amuongeze kikosini?
 
Utasikia Yanga wanakuja wanasema wamepata bilioni 42 kwa mauzo ya Morrison
Yanga hawakuwa na mktaba na Morrison; mwaka jana walimpa mktaba wa mwaka mmoja tu ambao ameumaliza. Kilichotakiwa ni kumwongezea mkataba wakamkatalia; hivyo anaondoka akiwa free agent.
 
Kitendo alichofanya kwa Pindi Chana pale Algeria na Ikulu ndio alipigilia msumari kwenye uwepo wake hapa Tanzania mi nilikuwa naona anajichekesha ila hajui alikwishapigwa soft ban mapema ila wakamuacha ahangaike
 
ACHA KUODHALILISHA TV YAKO.

ACHA KUIDHALILISHA JF.

ACHA KUJIDHALILISHA.

ACHA KUMUINUA SHETANI.

YULE MCHEZAJI HAFAI HAFAI KUENDELEA KUWEPO TANZANIA.
NA NABI HAWEZI KUWA NA MCHEZAJI MSH33NZI KAMA YULE.

USHINDWE.
 
Ushenzi upi alionao ?
 
Back
Top Bottom