Benchi jipya la Yanga hili hapa!

Hilo Squard la benchi la Ufundi ni hatar tupu,
Sipati picha akina Kagera watakuwa wanapigwa ngapi ngapi?????
 
Hizo taarifa ni za ukweli na clouds wametangaza muda sio mrefu sana. Tusubiri yanga mchoko. Maana hiki ni kipindi cha mpito
 
Taarifa rasmi zinatolewa na uongoz wa yanga na si vinginevyo
 
Juma Mwambusi Ana kosa gani?..mbona Ni kocha mzuri tu,wangeachana na Mkwasa.
 
Mkurugenzi wa ufundi ? Na kocha??? Halafu kocha mkuu wa timu ya taifa anarudi yanga kuwa kocha msaidizi tena??? Yaaani kocha mkuu wa taifa hana hadhi ya kuwa kocha mkuu wa klabu ya yanga?? Na anaondoka timu ya taifa na kurudi yanga kama anavyotaka ni dalili tosha TFF haiko sawa ndio maana soka Tanzania ni bado sana. Malinzi acha kuifedhehesha Taifa stars. Mwangusi kaondoka mbeya city na alikwenda yanga kufanya nini sio kuongeza ujuzi au kufedheheka. Yanga wanabadilisha kocha bila sababu wanatafuta balaa sasa. Yetu macho na masikio.
 
roho yako imepata maumivu hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…