Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu babu akitoka tu, simba watafanya sherehe.Tofauti ya kimajukumu kati ya mkurugenzi, meneja na kocha mkuu wa timu ni nn???????
roho yako imepata maumivu hahahaMkurugenzi wa ufundi ? Na kocha??? Halafu kocha mkuu wa timu ya taifa anarudi yanga kuwa kocha msaidizi tena??? Yaaani kocha mkuu wa taifa hana hadhi ya kuwa kocha mkuu wa klabu ya yanga?? Na anaondoka timu ya taifa na kurudi yanga kama anavyotaka ni dalili tosha TFF haiko sawa ndio maana soka Tanzania ni bado sana. Malinzi acha kuifedhehesha Taifa stars. Mwangusi kaondoka mbeya city na alikwenda yanga kufanya nini sio kuongeza ujuzi au kufedheheka. Yanga wanabadilisha kocha bila sababu wanatafuta balaa sasa. Yetu macho na masikio.