NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ndiyoooo, sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.
Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu Kama hii ya simba vs ihefu huu ni ukweli usiopingika.
Hii siyo ihefu iliyoifunga yanga, Wala siyo ihefu iliyoifunga Azam na wala siyo ihefu iliyokuja kuleta changamoto uwanja wa mkapa kwa wakubwa wa kariakoo.
Nilitegemea kuona mpira wenye ushindani mpira mzuri na wakuvutia na nilitegemea kuona mpaka dakika tisini hakuna goli ni mwendo wa matuta.
Benchi la ufundi Ihefu FC, jitafakarini kwa hicho mlichokifanya nyuma ya pazia ili kuwapa unafuu hao wakongwe wa kariakoo, ni Jambo la kusikitisha sana Simba anaingiza timu yake ya kikosi cha kwanza halafu kocha wa ihefu unaingiza kikosi cha mazoezini.
Lazima utakula nyingi tu, kocha wa ihefu siyo mgeni na timu za kariakoo ila ulichokifanya ni makusudi kwa sababu kilichopo nyuma ya pazia unakijua na ndiyo maana ukaamua kuingiza wachezaji wasiojua hata kutuliza mpira.
My take, kwa hali hii mpira wetu wa Tanzania utakua unapiga hatua mbili mbele Kisha kurudi hatua tano kuja kujipongeza.