Benchi la ufundi Ihefu FC, msitufanye mashabiki hatuna akili tunajua kila kitu kinachoendelea nyuma ya pazia

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ndiyoooo, sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.

Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu Kama hii ya simba vs ihefu huu ni ukweli usiopingika.

Hii siyo ihefu iliyoifunga yanga, Wala siyo ihefu iliyoifunga Azam na wala siyo ihefu iliyokuja kuleta changamoto uwanja wa mkapa kwa wakubwa wa kariakoo.

Nilitegemea kuona mpira wenye ushindani mpira mzuri na wakuvutia na nilitegemea kuona mpaka dakika tisini hakuna goli ni mwendo wa matuta.

Benchi la ufundi Ihefu FC, jitafakarini kwa hicho mlichokifanya nyuma ya pazia ili kuwapa unafuu hao wakongwe wa kariakoo, ni Jambo la kusikitisha sana Simba anaingiza timu yake ya kikosi cha kwanza halafu kocha wa ihefu unaingiza kikosi cha mazoezini.

Lazima utakula nyingi tu, kocha wa ihefu siyo mgeni na timu za kariakoo ila ulichokifanya ni makusudi kwa sababu kilichopo nyuma ya pazia unakijua na ndiyo maana ukaamua kuingiza wachezaji wasiojua hata kutuliza mpira.

My take, kwa hali hii mpira wetu wa Tanzania utakua unapiga hatua mbili mbele Kisha kurudi hatua tano kuja kujipongeza.
 
Ndiyoooo, Sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.

Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu Kama hii ya simba vs ihefu huu ni ukweli usiopingika.

Hii siyo ihefu iliyoifunga yanga, Wala siyo ihefu iliyoifunga Azam na wala siyo ihefu iliyokuja kuleta changamoto uwanja wa mkapa kwa wakubwa wa kariakoo.

Nilitegemea kuona mpira wenye ushindani mpira mzuri na wakuvutia na nilitegemea kuona mpaka dakika tisini hakuna goli ni mwendo wa matuta.

Benchi la ufundi ihefu fc, jitafakarini kwa hicho mlichokifanya nyuma ya pazia ili kuwapa unafuu hao wakongwe wa kariakoo, ni Jambo la kusikitisha sana Simba anaingiza timu yake ya kikosi Cha kwanza halafu kocha wa ihefu unaingiza kikosi Cha mazoezini.

Geuka nyuma ukimbie JINI BALEKE hilo linakuja
 
Ihefu wanaenda na hesabu zao ,, akili Yao ipo kwenye ligi zaidi.

Hata mwaka Jana kuna game ya ASFC walifanya hiv hiv Kwa kuwa lengo Lao kipind kile ilikuwa ni kupanda daraja
 
Wewe hujaumia kama ilivyoniuma mimi mwana mbogo maji,yaani hapa npo bar na konyagi yangu ndogo namlaumu kila shabiki wa simba lah...
Watakuja kwetu HIGHLAND ESTATES MBARALI STADIUM Tutawakonka vilivyo.
 
Wachezaji walioingizwa kama vile wamekuja mechi yakirafiki bahasha imetembea siyo bure
 
Ulitaka kipa apasie kama alivyompasia mayele?
Lakini mkuu mbona hata yanga aliwahi kunywa 4 kwa moja kutoka kwa simba?
Na yanga walikuwa na kitu nyuma ya pazia?
Mpira wa leo bahasha imetembea bila yakificho ni dhahiri
 
Ihefu wanaenda na hesabu zao ,, akili Yao ipo kwenye ligi zaidi.

Hata mwaka Jana kuna game ya ASFC walifanya hiv hiv Kwa kuwa lengo Lao kipind kile ilikuwa ni kupanda daraja
Braza akili ushafika robo si ungeachia toka huko nyuma
 
Ndiyoooo, Sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.

Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu Kama hii ya simba vs ihefu huu ni ukweli usiopingika.

Hii siyo ihefu iliyoifunga yanga, Wala siyo ihefu iliyoifunga Azam na wala siyo ihefu iliyokuja kuleta changamoto uwanja wa mkapa kwa wakubwa wa kariakoo.

Nilitegemea kuona mpira wenye ushindani mpira mzuri na wakuvutia na nilitegemea kuona mpaka dakika tisini hakuna goli ni mwendo wa matuta.

Benchi la ufundi ihefu fc, jitafakarini kwa hicho mlichokifanya nyuma ya pazia ili kuwapa unafuu hao wakongwe wa kariakoo, ni Jambo la kusikitisha sana Simba anaingiza timu yake ya kikosi Cha kwanza halafu kocha wa ihefu unaingiza kikosi Cha mazoezini.

Lazima utakula nyingi tu, kocha wa ihefu siyo mgeni na timu za kariakoo ila ulichokifanya ni makusudi kwa sababu kilichopo nyuma ya pazia unakijua na ndiyo maana ukaamua kuingiza wachezaji wasiojua hata kutuliza mpira.

My take, kwa hali hii mpira wetu wa Tanzania utakua unapiga hatua mbili mbele Kisha kurudi hatua tano kuja kujipongeza.
Acha kubeti , najua umeweka simba win & under 4.5...Baleke akakunyoosha mamaeee
 
Wachezaji walioingizwa kama vile wamekuja mechi yakirafiki bahasha imetembea siyo bure
Na hizi ni njama za mwamedi amempa bahasha fahadi...nampigia fady anacheka tu et "kaka mpira una matokeo matatu" yaani kirahisi kabisa ananijibu mimi hivyo kundulake

ndio maana wahindi siwaamini kabisa
 
Back
Top Bottom