Benchi la ufundi Ihefu FC, msitufanye mashabiki hatuna akili tunajua kila kitu kinachoendelea nyuma ya pazia

Cry more




HUNA AKILI.

Timu lako lenyewe lishafumuliwa 5,mkono na simba sc leo unaona ihefu wameonewa[emoji23][emoji23][emoji23]




TIMU ILIYOCHEZA NA IHEFU IMEMPIGA HOROYA BINGWA WA GUINEA GOLI 7 TENA KATIKA KLABU BINGWA.
HEBU WAPONGEZE IHEFU KWA KUJITAHIDI.




CCM ITAENDELEA KUTAWALA MILELE KWA AKILI YAKO HIYO NYAMA WEWE.
View attachment 2580314
 
Cry more




HUNA AKILI.




TIMU ILIYOCHEZA NA IHEFU IMEMPIGA HOROYA BINGWA WA GUINEA GOLI 7 TENA KATIKA KLABU BINGWA.
HEBU WAPONGEZE IHEFU KWA KUJITAHIDI.




CCM ITAENDELEA KUTAWALA MILELE KWA AKILI YAKO HIYO NYAMA WEWE.
Popoma wewe [emoji41]
Horoya nayo timu mbona hutolei mfano raja Casablanca
 
Kwa sababu mlifungwa nao unadhani ma Simba ni hivyo hivyo..aibu
 
Chuki yako kwa Simba itakuletea kifafa cha mimba mwaka huu wewe jizime data tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unajua umeshangaa kama mimi nilivyoshangaa, ihefu tunayoijua sio hii iliyocheza na simba, ihefu tunayoijua ata kama ingefungwa ingekuwa kwa mbinde sana si zaidi ya goli 1 ama 2 kwa moja, hii mechi tokea nilipoona kikosi cha ihefu kilichoanza na waliopo benchi nikajua akuna mechi apo zaidi ya maigizo, na ndicho kilichotokea, kuna kamchezo kachafu kamefanyika hapo, Simbwa awana matumaini ya ubingwa na ihefu wanapambana kuipata nafasi ya 4 kwenye ligi kuu ili waiwakilishe nchi kwenye michuano ya kimataifa na wako nafasi ya 6, hivyo inawezekana kuna makubaliano waiachie ihefu ishinde mechi ya ligi isogee nafasi ya 4 na awa waachiwe mechi ya Azam wasitumie nguvu kubwa kutokana na ratiba inavyowabana, lakini yote kwa yote njia ya muongo uwa ni fupi sana kila kitu kitakuwa wazi hivi karibuni
 
[emoji123] umeona Kama nilivyoona Mimi mkuu Kuna makubaliano hapo bahasha imetembea kabisa

Wachezaji muhimu wanaanzia benchu, tazama sura ya juma nyoso Ina mengi iliyokua ikizungumza moyoni ni dhahiri kabisa hii gemu ilipangwa.
 
Kwa sababu mlifungwa nao unadhani ma Simba ni hivyo hivyo..aibu
Sasa kikosi kilichoibahatisha yanga ndiyo icho una dhani, ihefu inachezaga hivyo kikosi kilichoanza ni hicho
 
Hivi lengo la Ihefu kupumzisha mastaa wao kwenye ile mechi ya jana, lilikuwa ni nini? Au wana majeraha!

Kwa kweli ilishangaza! Maana kama ni kwenye msimamo wa ligi kuu, wapo sehemu nzuri tu. Sasa ilikuwaje kocha akapanga kikosi cha pili?

Mpaka makolo wanaongoza kwa goli 3, sikumuona Never Tigere, Obrey Chirwa, Yacouba Sogne, na mastaa wengineo wengi wa kikosi chao cha kwanza!

Mtoa mada una hoja ya msingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…