Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Upupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cry moreNdiyoooo, Sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.
Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu Kama hii ya simba vs ihefu huu ni ukweli usiopingika.
Hii siyo ihefu iliyoifunga yanga, Wala siyo ihefu iliyoifunga Azam na wala siyo ihefu iliyokuja kuleta changamoto uwanja wa mkapa kwa wakubwa wa kariakoo.
Nilitegemea kuona mpira wenye ushindani mpira mzuri na wakuvutia na nilitegemea kuona mpaka dakika tisini hakuna goli ni mwendo wa matuta.
Benchi la ufundi ihefu fc, jitafakarini kwa hicho mlichokifanya nyuma ya pazia ili kuwapa unafuu hao wakongwe wa kariakoo, ni Jambo la kusikitisha sana Simba anaingiza timu yake ya kikosi Cha kwanza halafu kocha wa ihefu unaingiza kikosi Cha mazoezini.
Lazima utakula nyingi tu, kocha wa ihefu siyo mgeni na timu za kariakoo ila ulichokifanya ni makusudi kwa sababu kilichopo nyuma ya pazia unakijua na ndiyo maana ukaamua kuingiza wachezaji wasiojua hata kutuliza mpira.
My take, kwa hali hii mpira wetu wa Tanzania utakua unapiga hatua mbili mbele Kisha kurudi hatua tano kuja kujipongeza.
Huu ujumbe nilioandika hapa wameuona hawatarudia Tena makosaKama unadhan Simba wamewabahatisha subiri jumatatu tunawafuata kwao huko huko watakula 3 0
Popoma wewe [emoji41]Cry more
HUNA AKILI.
TIMU ILIYOCHEZA NA IHEFU IMEMPIGA HOROYA BINGWA WA GUINEA GOLI 7 TENA KATIKA KLABU BINGWA.
HEBU WAPONGEZE IHEFU KWA KUJITAHIDI.
CCM ITAENDELEA KUTAWALA MILELE KWA AKILI YAKO HIYO NYAMA WEWE.
Hata Casablanca wanajua , na wydad watakuja kujua [emoji41]Waulize prison na horoya ndo wanajua balaa la total football,endelea kupiga kelele tu
Kwa sababu mlifungwa nao unadhani ma Simba ni hivyo hivyo..aibuNdiyoooo, sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.
Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu Kama hii ya simba vs ihefu huu ni ukweli usiopingika.
Hii siyo ihefu iliyoifunga yanga, Wala siyo ihefu iliyoifunga Azam na wala siyo ihefu iliyokuja kuleta changamoto uwanja wa mkapa kwa wakubwa wa kariakoo.
Nilitegemea kuona mpira wenye ushindani mpira mzuri na wakuvutia na nilitegemea kuona mpaka dakika tisini hakuna goli ni mwendo wa matuta.
Benchi la ufundi Ihefu FC, jitafakarini kwa hicho mlichokifanya nyuma ya pazia ili kuwapa unafuu hao wakongwe wa kariakoo, ni Jambo la kusikitisha sana Simba anaingiza timu yake ya kikosi cha kwanza halafu kocha wa ihefu unaingiza kikosi cha mazoezini.
Lazima utakula nyingi tu, kocha wa ihefu siyo mgeni na timu za kariakoo ila ulichokifanya ni makusudi kwa sababu kilichopo nyuma ya pazia unakijua na ndiyo maana ukaamua kuingiza wachezaji wasiojua hata kutuliza mpira.
My take, kwa hali hii mpira wetu wa Tanzania utakua unapiga hatua mbili mbele Kisha kurudi hatua tano kuja kujipongeza.
Chuki yako kwa Simba itakuletea kifafa cha mimba mwaka huu wewe jizime data tuNdiyoooo, sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.
Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu Kama hii ya simba vs ihefu huu ni ukweli usiopingika.
Hii siyo ihefu iliyoifunga yanga, Wala siyo ihefu iliyoifunga Azam na wala siyo ihefu iliyokuja kuleta changamoto uwanja wa mkapa kwa wakubwa wa kariakoo.
Nilitegemea kuona mpira wenye ushindani mpira mzuri na wakuvutia na nilitegemea kuona mpaka dakika tisini hakuna goli ni mwendo wa matuta.
Benchi la ufundi Ihefu FC, jitafakarini kwa hicho mlichokifanya nyuma ya pazia ili kuwapa unafuu hao wakongwe wa kariakoo, ni Jambo la kusikitisha sana Simba anaingiza timu yake ya kikosi cha kwanza halafu kocha wa ihefu unaingiza kikosi cha mazoezini.
Lazima utakula nyingi tu, kocha wa ihefu siyo mgeni na timu za kariakoo ila ulichokifanya ni makusudi kwa sababu kilichopo nyuma ya pazia unakijua na ndiyo maana ukaamua kuingiza wachezaji wasiojua hata kutuliza mpira.
My take, kwa hali hii mpira wetu wa Tanzania utakua unapiga hatua mbili mbele Kisha kurudi hatua tano kuja kujipongeza.
Unajua umeshangaa kama mimi nilivyoshangaa, ihefu tunayoijua sio hii iliyocheza na simba, ihefu tunayoijua ata kama ingefungwa ingekuwa kwa mbinde sana si zaidi ya goli 1 ama 2 kwa moja, hii mechi tokea nilipoona kikosi cha ihefu kilichoanza na waliopo benchi nikajua akuna mechi apo zaidi ya maigizo, na ndicho kilichotokea, kuna kamchezo kachafu kamefanyika hapo, Simbwa awana matumaini ya ubingwa na ihefu wanapambana kuipata nafasi ya 4 kwenye ligi kuu ili waiwakilishe nchi kwenye michuano ya kimataifa na wako nafasi ya 6, hivyo inawezekana kuna makubaliano waiachie ihefu ishinde mechi ya ligi isogee nafasi ya 4 na awa waachiwe mechi ya Azam wasitumie nguvu kubwa kutokana na ratiba inavyowabana, lakini yote kwa yote njia ya muongo uwa ni fupi sana kila kitu kitakuwa wazi hivi karibuniNdiyoooo, sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.
Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu Kama hii ya simba vs ihefu huu ni ukweli usiopingika.
Hii siyo ihefu iliyoifunga yanga, Wala siyo ihefu iliyoifunga Azam na wala siyo ihefu iliyokuja kuleta changamoto uwanja wa mkapa kwa wakubwa wa kariakoo.
Nilitegemea kuona mpira wenye ushindani mpira mzuri na wakuvutia na nilitegemea kuona mpaka dakika tisini hakuna goli ni mwendo wa matuta.
Benchi la ufundi Ihefu FC, jitafakarini kwa hicho mlichokifanya nyuma ya pazia ili kuwapa unafuu hao wakongwe wa kariakoo, ni Jambo la kusikitisha sana Simba anaingiza timu yake ya kikosi cha kwanza halafu kocha wa ihefu unaingiza kikosi cha mazoezini.
Lazima utakula nyingi tu, kocha wa ihefu siyo mgeni na timu za kariakoo ila ulichokifanya ni makusudi kwa sababu kilichopo nyuma ya pazia unakijua na ndiyo maana ukaamua kuingiza wachezaji wasiojua hata kutuliza mpira.
My take, kwa hali hii mpira wetu wa Tanzania utakua unapiga hatua mbili mbele Kisha kurudi hatua tano kuja kujipongeza.
Sitopumnzika Mimi, nitaendelea kuandika ukweli daima.NALIA NGWENA pumzika kidogo usilielie ngwena tena unateseka sana mwana uto mwenzangu uzi sijui wa ngapi huu.
[emoji123] umeona Kama nilivyoona Mimi mkuu Kuna makubaliano hapo bahasha imetembea kabisaUnajua umeshangaa kama mimi nilivyoshangaa, ihefu tunayoijua sio hii iliyocheza na simba, ihefu tunayoijua ata kama ingefungwa ingekuwa kwa mbinde sana si zaidi ya goli 1 ama 2 kwa moja, hii mechi tokea nilipoona kikosi cha ihefu kilichoanza na waliopo benchi nikajua akuna mechi apo zaidi ya maigizo, na ndicho kilichotokea, kuna kamchezo kachafu kamefanyika hapo, Simbwa awana matumaini ya ubingwa na ihefu wanapambana kuipata nafasi ya 4 kwenye ligi kuu ili waiwakilishe nchi kwenye michuano ya kimataifa na wako nafasi ya 6, hivyo inawezekana kuna makubaliano waiachie ihefu ishinde mechi ya ligi isogee nafasi ya 4 na awa waachiwe mechi ya Azam wasitumie nguvu kubwa kutokana na ratiba inavyowabana, lakini yote kwa yote njia ya muongo uwa ni fupi sana kila kitu kitakuwa wazi hivi karibuni
Yakupasa kutupia na msemo aliouzungumza rage.Chuki yako kwa Simba itakuletea kifafa cha mimba mwaka huu wewe jizime data tuView attachment 2580397View attachment 2580398
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sawa afande wa zenji upo sahihi kwa maono yako.KUDADADEKI...Bwana wako nae ana Bwana wake... ndiyo hii.
Sasa kikosi kilichoibahatisha yanga ndiyo icho una dhani, ihefu inachezaga hivyo kikosi kilichoanza ni hichoKwa sababu mlifungwa nao unadhani ma Simba ni hivyo hivyo..aibu
Bila wadau Kama sisi Mambo hayaendiTatizo bongo Kila mtu mchambuzi
Hivi lengo la Ihefu kupumzisha mastaa wao kwenye ile mechi ya jana, lilikuwa ni nini? Au wana majeraha!Ndiyoooo, sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.