Benchi la ufundi Ihefu FC, msitufanye mashabiki hatuna akili tunajua kila kitu kinachoendelea nyuma ya pazia

Kufungwa amefungwa Ihefu na wameona poa tu..ila Topolo huku mwiko unamgonga.
 
Nilishawahi kusema humu, nikiona dalili za Simba kushinda mechi kwa bahasha nitakuwa wa kwanza kukemea. Kuna raha yake unaposhinda kwa haki. Magoli yote yalikuwa "contested" jana na kipa na mabeki.
Simba Ndiyo timu pekee yenye Safu hatari ya ushambuliaji kwasasa.

Tofauti ya magoli Kati ya Simba na yanga Ni 44 kwa 34.tofauti ya goli kumi.

Mwaka juzi Simba ilimpiga utopolo goli 4, mlihongwa?

Hakuna uto mwenye akili.
 
Kufungwa amefungwa Ihefu na wameona poa tu..ila Topolo huku mwiko unamgonga.
Miaka ya juzi hapa Uto tulimpiga 4 kwenye kombe hilihili la Shirikisho.

Walihongwa?

Haya majamaa akili kinyesi kabisa.

Endeleeni kwenda uwanjani na matokeo mfukoni.
 
Zingatia kuwa Simba SC ni namba 9 Afrika , na kusini mwaka jangwa la Sahara baada ya Mamelodi Sundowns ni Simba SC hata Mazembe wapo chini ya Simba.
 
Simba Ndiyo timu pekee yenye Safu hatari ya ushambuliaji kwasasa.

Tofauti ya magoli Kati ya Simba na yanga Ni 44 kwa 34.tofauti ya goli kumi.

Mwaka juzi Simba ilimpiga utopolo goli 4, mlihongwa?

Hakuna uto mwenye akili.
We jamaa vipi? Kwani mimi nimeunga mkono alichoandika mleta mada?
 
Huna akili.Timu ya mchangani ingefanya nini kwa miamba iliyo bora namba tisa Afrika?
 
Simba Ndiyo timu pekee yenye Safu hatari ya ushambuliaji kwasasa.

Tofauti ya magoli Kati ya Simba na yanga Ni 44 kwa 34.tofauti ya goli kumi.

Mwaka juzi Simba ilimpiga utopolo goli 4, mlihongwa?

Hakuna uto mwenye akili.
Eti timu pekeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…