bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Maximo hakuwa wa kawaida mtake radhi , alipekea Tz mpka nafasi ya 97 duniani nafasi amabayo hatujawahi kuifikia before and after yeyeKwahiyo Juma Mgunda na Hemed hawana uzoefu? Uwepo wa makocha wazawa timu ya taifa ni faida kwa timu yetu maana wanawaelewa wachezaji wetu hasa wanaocheza ligi za ndani.
Kuna makocha wa nje wamewahi kupita timu ya taifa, uwezo wao ulikua wa kawaida sana kama Maximo, Amunike, Poulsen, na hakuna la tofauti wamefanya.