Benchi la ufundi la Timu ya Taifa liwe bora kuliko la vilabu

Maximo hakuwa wa kawaida mtake radhi , alipekea Tz mpka nafasi ya 97 duniani nafasi amabayo hatujawahi kuifikia before and after yeye
 
Sasa Mgunda Simba Queen tu kafeli
 
Upo sahihi mkuu! Makocha wetu hawana exposure! Just imagine mchezaji kama Mzize, Job na hadhi zao wanakuja kufundishwa na Morocco kocha type ya Namungo🤣🚮
 
Akina mgunda wa uzoefu wa kufanya nini?
 
Makocha wetu hawa akina Kibadeni, Mkwasa, Julio, Moroko, sijui nani ukiwapa timu ni vurugu tupu kambini hapo; mabifu, chuki, hasira na kila kitu dhidi ya wachezaji. Hawana timu wamefundisha popote pale duniani ikafika popote, sembuse timu ya Taifa? Hata timu za daraja la tatu zinatamani zikatafute makocha nje ya nchi.
 
Hao watatu uliotaja hapo ndio makocha pekee wa Taifa Stars ninaowajua mimi shabiki wa mbali wa mpira. Hata hivyo, hao watatu ndio walifanya angalau mashabiki watoe support kwa wingi kwa timu.
 
Hamna lolote mnawasingizia tuu. Sie kwanza tuna tabia ya kuwakopa hawa makocha wazawa hiyo shida ya kwanza.
Pili hamnaga kocha anakuwa na bifu na mchezaji anayefanga kazi hizo ni tantalila tuu. Kila binadamu anapenda sifa hivyo kocha sifa yake inakuja pale timu inafanya vizuri. Timu kufanya vizuri upate wachezaji wanajituna na ni bora.
 
A
Hebu weka hilo benchi tulione
Aletwe kocha ambae anazijua na kuziishi fitina, changamoto, mipango, mbinu na uzoefu wa kucheza mechi za robo, nusu na finali za Afcon, CAF champions,
 
Nikupe mfano rahisi; Hebu niambie, Dickson Job tangu ajiunge na Yanga aliwahi kushuka kiwango chake lini na kimepanda lini?
 
Upo sahihi mkuu! Makocha wetu hawana exposure! Just imagine mchezaji kama Mzize, Job na hadhi zao wanakuja kufundishwa na Morocco kocha type ya Namungo🤣🚮
Ndiyo maana walikosana. Kocha mahiri angekaa kwanza na machezaji kirafiki na kishikaji kumueleza kwanini ni muhimu kumpangia kucheza namba nyingine kwenye mechi ile badala ya kumfanyia ambush na lazima.
 
Kwa wachezaji waliopo hata aje kocha mwenye uzoefu wa miaka 20 hakuna lolote
 
Si atumie utaalamu alopewa na Gamond?
Timu ni wachezaji kwanza halafu kwa asilimia ndogo sana kocha.
 
kwani yule mama anayenunua goli huko amekuwa kipofu haoni kwanini asiwekeze huko yeye kila siku na vyura nyuma mwiko tu na kolozidad kuharibu pesa ya walipa kodi
 
Si atumie utaalamu alopewa na Gamond?
Timu ni wachezaji kwanza halafu kwa asilimia ndogo sana kocha.
Gamondi (anaejua) kampa ujuzi wa kucheza namba hii, kocha wa timu ya taifa (asiyejua) anataka ambadilishie namba, wataelewana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…