CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa
Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza
Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana wewe na wenzako na washkaji wenu waliocheza jana maana ni maduka yalikuwa kazini kwenye defence kasoro mkongo Inonga nakumbuka hadi kapombe alienda kuzuia ule mpira uliokuwa unaingia golini kwa wapinzani
Tafadhali fukuzeni matola na Gomez tu na mratibu wa team Abbas Gaza achunguzwe kwa umakini sana. PESA NA USALITI NI VITU VYA KUTISHA SANA