CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
kulipwa mshahara mkubwa au mdogo kunahusiana nini na U GREEDY ulafi? kwani watawala wa afrika wanaoibia nchi zao kila siku hawana mali za kutosha? au hawalipwi vizuriHayo maduka yamelipwa sh ngapi? Kama kuna maduka basi mshahara anaowalipa boss mo ni kiduchu sana tofauti na tunavyoaminishwa kuwa wachezaji wa Simba wana mishahara minono. Kumbe ni makapuku tu wamechukua ela ya Galaxy sababu wana njaa njaa zilizokithiri.
Haya ndugu mwenye thread embu tupe uthibitisho wa hizo tuhuma kwanza. Kisha tujadili njaa za wachezaji wa Simba
Nimekuomba ulete uthibitisho wa hiyo madai yakokulipwa mshahara mkubwa au mdogo kunahusiana nini na U GREEDY ulafi? kwani watawala wa afrika wanaoibia nchi zao kila siku hawana mali za kutosha? au hawalipwi vizuri
Ina maana benchi la ufundi lilipokea mlungul
We mpuuzi na uthibitisho uthibitisho kwendaaaaaaaaNimekuomba ulete uthibitisho wa hiyo madai yako
inasemekana ni mmoja wao kwenye hao makocha , mzungu hajui lolote maskini ya mungu sema kachachawa akili yako haiko sawa sasa hivi watu aliowaamini wamemsaliti vibaya sana
Ndugu Shabiki wa mbumbumbu Acha kubisha, viongozi wa soka Tz utakuwa umewasahau .....kuna tweeti za Mwamedi na Magoli huko lazima mchawi apatikanewe mpuuzi na uthibitisho uthibitisho kwendaaaaaaaa
Ni mpumbavu wewe unaleta habari za yzushi humu. Habari za vijiweni unaleta humu bwege wewewe mpuuzi na uthibitisho uthibitisho kwendaaaaaaaa
Kina magori juzi walipigiwa simu kwamba mechi ishauzwa wakapuuza ndiyo maana jana Mo na Magori wamepaniki na zile tweetsNdugu Shabiki wa mbumbumbu Acha kubisha, viongozi wa soka Tz utakuwa umewasahau .....kuna tweeti za Mwamedi na Magoli huko lazima mchawi apatikane
Ni mpumbavu wewe unaleta habari za yzushi humu. Habari za vijiweni unaleta humu bwege wewe
Hizo story tu za vijiwe vya kahawa, mechi ilikuwa wazi tu, mlizidiwa mbinuKina magori juzi walipigiwa simu kwamba mechi ishauzwa wakapuuza ndiyo maana jana Mo na Magori wamepaniki na zile tweets
🤣🤣🤣kweli mikia mmevurugwaView attachment 1986344
MTOTO MDOGO WEEE KAMA NDUGU YAKO NI MOJAWAPO YA YALE MADUKA MANNE PALE NYUMA KATIKA DEFENCE YA WATU WATANO ILIYOCHEZA UKIMTOA INONGA MTAZITAPIKA TU ***** TUTAWAPIGA ALBADIRI HADI MUWE VIWETE...UEMONA HIYO TWEET YA MAGORI ? KAMUULIZE SASA UTHIBITISHO..MBWEHA WEWE MATAPELI TU NYIE MNAISHI MJINI KWA KUUZA MECHI NA KUUMIZA MIOYO YA MAMILIONI YA WATU
Huyo Mwamedi mswahili na Magori wanatafuta namna ya kujiweka pembeni na lawama ndio maana wanatafuta wakuwaangushia mzigo. Huyo Mo hataki kuamuni kuwa Simba yake kaivuruga kwa kufanya biashara ya wachezaji bora pasipo kufanya replacement iliyosahihi. Hataki ionekane Simba yake ni mbovu safari hii.Ndugu Shabiki wa mbumbumbu Acha kubisha, viongozi wa soka Tz utakuwa umewasahau .....kuna tweeti za Mwamedi na Magoli huko lazima mchawi apatikane
KAMSHAURI MAGORIHizo story tu za vijiwe vya kahawa, mechi ilikuwa wazi tu,mlizidiwa mbinu
Wamezeeka jana etiTuache majungu, mpira ni mchezo wa wazi. Mbinu za kocha zilifeli, wachezaji Kama Bocco, Wawa ni wazee hawatufai. Hakuna hujuma yoyote