Jana Simba ilidharau mechi na ilipopata goli kipindi cha kwanza wakirudi kama mafaza kipindi cha pili ,ishu kuhongwa ni ujinga mchezo unaonekana ,Ila Wawa anatuchomesha sana ,Wawa anajiamini mno mawasiliano mabovu na manula ,Simba inatakiwa icheze kama timu ndogo kufight na siyo kujiona wamemaliza kila kituNimekuomba ulete uthibitisho wa hiyo madai yako
Kwani yeye hakosei, hizi zilikuwa emotions tu baada ya kipigo........mbona marehemu Hans Pope alikuwa nayeye anakurupuka na kuongea kwa hasiraKAMSHAURI MAGORI
View attachment 1986346
Jamaa ni kilaza yaani chizi kweli kweli, eti mechi imeuzwa. Hawataki kuamini kuwa simba yao ni mbovu hata kule Botswana wamepata matokeo kwa zali tu jamaa waliwazidi katika performance.Hizo story tu za vijiwe vya kahawa, mechi ilikuwa wazi tu,mlizidiwa mbinu
Usiishi kwa mihemko kama ya maboss wako, hakuna cha usaliti wala hakuna aliyehingwa ela huyo aliyeandika hivyo kaandika kwa mihemko na stress zake.KAMSHAURI MAGORI
View attachment 1986346
Wanafanya utapeli tuHuyo Mwamedi mswahili na Magori wanatafuta namna ya kujiweka pembeni na lawama ndio maana wanatafuta wakuwaangushia mzigo. Huyo Mo hataki kuamuni kuwa Simba yake kaivuruga kwa kufanya biashara ya wachezaji bora pasipo kufanya replacement iliyosahihi. Hataki ionekane Simba yake ni mbovu safari hii.
Wale waswana wamewashinda kimbinu tu, anayesema Usaliti ni kufanya siasa kwenye mpiraJamaa ni kilaza yaani chizi kweli kweli, eti mechi imeuzwa. Hawataki kuamini kuwa simba yao ni mbovu hata kule Botswana wamepata matokeo kwa zali tu jamaa waliwazidi katika performance.
Jamaa ni kilaza yaani chizi kweli kweli, eti mechi imeuzwa. Hawataki kuamini kuwa simba yao ni mbovu hata kule Botswana wamepata matokeo kwa zali tu jamaa waliwazidi katika performance.
Siku zote nilikuwa najua kuwa mwenye hii ID ni mwanaume. Ila leo ndio nimejua kuwa ni mtoto wa kike. Mwanaume hawezi kutamka hilo neno la mwisho uliloandika labda awe shoga.we mpuuzi na uthibitisho uthibitisho kwendaaaaaaaa
Hata nikiwa shoga haiondoi ukweli kwamba huyo ndugu yako aliyehusika kuuza mechi au wewe kama ndiye yule mjumbe wa kamati ya utendaji wa zamani aliyekimbia na gate collection milioni 12 za klabu lazima mshuhulikiwe we tukana matusi yoote lakini dhambi ya jana itawa cost NAUNGANA NA MAGORI DHAMBI YA USALITI NI MBAYA SANA HAIKUBALIKI, ushamaliza tusi la shoga lipi limebaki bwashee?? la mama au bibi?Siku zote nilikuwa najua kuwa mwenye hii ID ni mwanaume. Ila leo ndio nimejua kuwa ni mtoto wa kike. Mwanaume hawezi kutamka hilo neno la mwisho uliloandika labda awe shoga.
@CHIZI VITABUHaya mambo ya kuona ukifungwa umehujumiwa utayaona Tanzania tu .
kafa ole 5-0 hauwezi kusikia kiongozi wa man u amesema amehujumiwa.tujifunze .
Uhujumiwe kwa lipi kwa kiasi gani?
Haulipi mishahara?
Una ugomvi na wachezaji?
Niishie kusema kuwa mpira haujui unafuata tu upepo wa boss wako. Na pia hata uwezo wa kuchanganua mambo hauna. Wewe ni mshabiki oya oya wa boss Mo. Wanajua mpira wameona hakuna cha hujuma wala niniHata nikiwa shoga haiondoi ukweli kwamba huyo ndugu yako aliyehusika kuuza mechi au wewe kama ndiye yule mjumbe wa kamati ya utendaji wa zamani aliyekimbia na gate collection milioni 12 za klabu lazima mshuhulikiwe we tukana matusi yoote lakini dhambi ya jana itawa cost NAUNGANA NA MAGORI DHAMBI YA USALITI NI MBAYA SANA HAIKUBALIKI, ushamaliza tusi la shoga lipi limebaki bwashee?? la mama au bibi?
Over to you knucklehead na jinsi usivyo na aibu hapo sasa hivi unakula mibia na minyama na mitomato sauce na mikachumbari kwa hela za kuuza mechi shame on you
View attachment 1986393
Kocha Hana KOSAHabari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini , kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa
Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza
Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana wewe na wenzako na washkaji wenu waliocheza jana maana ni maduka yalikuwa kazini kwenye defence kasoro mkongo Inonga nakumbuka hadi kapombe alienda kuzuia ule mpira uliokuwa unaingia golini kwa wapinzani
Tafadhali fukuzeni matola na Gomez tu na mratibu wa team Abbas Gaza achunguzwe kwa umakini sana. PESA NA USALITI NI VITU VYA KUTISHA SANA
kasalitiwa na maduka yanayotembea sema hajui kufanya subs he is confused kiukweli sana tu trust me hajui anachokifanya tenaKocha Hana KOSA