MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
- Thread starter
- #21
Wachezaji wametimiza majukumu yao ila waliokuwa nje wameshindwa kuchange game plan kwa wakati! Plan ya Kanda na Dilunga was too late!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji wametimiza majukumu yao ila waliokuwa nje wameshindwa kuchange game plan kwa wakati! Plan ya Kanda na Dilunga was too late!
Wachezaji wametimiza majukumu yao ila waliokuwa nje wameshindwa kuchange game plan kwa wakati! Plan ya Kanda na Dilunga was too late!
Matola Hana leseni ya kua kocha mkuu..
Lipuli hakuwa kocha mkuu?
Au kwa timu ikifika katika mashindano ya kimataifa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kujipa hatimiliki ya kushinda; but udhaifu unapoonekana lazima usemwe, hasa ukiwa unajirudia rudia.
Acha mawazo finyu, we ulitakaje? Badala ya kulaumu benchi la ufundi ungesifia tu uwezo wa MetachaWakuu,
Ni muda mrefu sasa nina mashaka na uwezo wa benchi la ufundi la Simba. Hata ushindi tunaopata ni juhudi binafsi zaidi kuliko maelekezo ya kiufundi.
Mechi ya leo ni mfano bora kabisa. Huwezi kuanza kwa kumtumia kiungo kama Kahata ambaye anacheza staili inayofanana na viungo wa Yanga! Mechi ya leo ilihitaji viungo wenye kasi zaidi.
Hata timu inapoonesha kulemewa hakuna mabadiliko ya haraka! Timu inacheza vile vile wakati plan zimeshafeli. Mkude alihitaji msaidizi wa kukaba sababu ya staili yake ya uchezaji lakini kumpanga na watu slow na wasio wakabaji kama Kahata na Chama ilifeli mapema toka mechi ianze na kulikuwa na hatari ya kupata hata kadi nyekundu ilipaswa benchi la ufundi ku change plan haraka!
Simba ina chief coach ambaye hana experience na kufundisha club zaidi ya kupatia experience Simba. Wachezaji wanatoa kila walichonacho lakini plan mbovu kwa mechi za kimbinu kama hizi zinawaangusha.
Simba ina timu bora kabisa, tunahitaji pia benchi la ufundi bora ili kitumia vipaji vilivyopo vizuri.
Nimeandika hili baada ya kufatilia mechi nyingi zaidi ya mechi ya leo na pengine ushindi hututia upofu lakini zipo mechi nyingi makocha wa timu pinzani wanafanikiwa kimbinu lakini wanazidiwa na experience ya wachezaji wa Simba kimbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kutema big G ajibu kisa kina mikisoni itawacost.Wakuu,

Kwani msemaji wetu anasemaje?Manula pia amekuwa mbovu kwa mipira ya mbali, simba waanze kutafuta kipa mwingine, wakipata kama Abarola Wa Azam utakuwa pia, Manila kwa sasa anaweza kuisaidia Mbeya City zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba inahitaji mabadiliko wachezaji umri umeenda haswa upande wa mabekiPamoja na matatizo ya bench la ufundi, mkude na boko wanahitaji wasaidizi.
Huyo waliemuacha alikuwa jembeNaunga mkono hoja 100%.
Dilunga, Kanda walitakiwa kuanza mapema kabisa, then either Boko au Kagere mmoja aanzie benchi plus Kahata. Game tungeimaliza mapema sana.
Kocha wa Simba bado mchanga, ila simlaumu kwa ile CV yake, hao viongozi waliompa kazi sijui waliona nini kwake, na nikikumbuka walimuacha Aussems uuuh!
Sent using Jamii Forums mobile app