Benchi la ufundi Simba

Acha mawazo finyu, we ulitakaje? Badala ya kulaumu benchi la ufundi ungesifia tu uwezo wa Metacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba kutema big G ajibu kisa kina mikisoni itawacost.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo waliemuacha alikuwa jembe
 
Ninachojua ni kuwa.
Bernard Morrison baada ya kuupanda mpira kwa muda mrefu..

ameamua leo kumpanda manula
 
Michango ni mizuri na mingi imetoa suruhisho nini kifanyike,
Mambo yatakaa sawa msijali wana simba
Tuendelee kuwa na hali ya ushindi mpaka pale tutakapo jiweka kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa,alafu mambo mengine yatakaa poa,
SIMBA NGUVU MOJA,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…