Hakuwa kocha mkuuLipuli hakuwa kocha mkuu?
Au kwa timu ikifika katika mashindano ya kimataifa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Namjua Aussems kuliko wewe, tulikuwa tunakwenda Misri na Kongo klabu bingwa Afrika tukiwa tumefunguka kabisa na matokeo yake unayajua.
Kocha mwenye akili hawezi kwenda ugenini akacheza staili ile ile inayocheza nyumbani.
Ndio maana tulimfukuza hana mbinu kama mbelgiji mwenzake Sven.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi kuwa serious, unamzungumzia Abarola wa Azam au mwingine!!? Hivi huwa unafatilia mechi za Azam na magoli ya kitoto anayofungwa? Kwanza ana papara na hasira zisizo na sababu, amewagharimu sana Azam. Yule hawezi kuwa mbadala wa Manula.Manula pia amekuwa mbovu kwa mipira ya mbali, simba waanze kutafuta kipa mwingine, wakipata kama Abarola Wa Azam utakuwa pia, Manila kwa sasa anaweza kuisaidia Mbeya City zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo game mlishinda kwa dhuluma tu.Hatuwezi kwenda kimataifa na hii defence tuliyonayo, ujue sometimes as a good coach, anaweza badili mfumo ili kuongeza ufanisi kwenye defence, nakumbuka Aussems alikuwa akiona timu imeruhusu magoli ya kizembe next game anabadili mfumo, kama game ya kwanza tulicheza 4-3-3, game inayokuja ataenda 4-1-2-3, hii ilikuwa inasaidia kuongeza nguvu ya defence.
But huyu kocha wa sasa anarudia mfumo huo huo kila mechi licha ya kuruhusu magoli, mfano mechi ya Azam ilikuwa tupigwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanazika benchi laufundi matola sijauona umuhimu waujio wake sijui ndio anamsikiliza mzungu yeye hana kauli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu vyema sana. Abarola siyo mbadala wa Manula ana utoto mwingi. Ni bora kumchukua Metacha Mnata au golikipa kijana wa Biashara United tukamuandaa kuchukua nafasi ya Manula.Hauwezi kuwa serious, unamzungumzia Abarola wa Azam au mwingine!!? Hivi huwa unafatilia mechi za Azam na magoli ya kitoto anayofungwa? Kwanza ana papara na hasira zisizo na sababu, amewagharimu sana Azam. Yule hawezi kuwa mbadala wa Manula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba walivyomchukua Kakolanya, waliona kama wamewakomesha sana Yanga kwa kuchukua kipa aliyebora zaidi Tanzania. Lakini leo tena anaonekana Metacha wa Yanga ndiye bora zaidi kuwa mbadala wa Manula. Kiukweli kabisa, Manula tokea ajiunge Simba kafanya Saves nyingi sana za clear chances ambazo zingine one against one. Hakuna kipa mzuri duniani asiyefungwa. na lile goli sio la kumlaumu kipa bali msifie mpigaji kwani kaipiga kwa ufundi sanaUmejibu vyema sana. Abarola siyo mbadala wa Manula ana utoto mwingi. Ni bora kumchukua Metacha Mnata au golikipa kijana wa Biashara United tukamuandaa kuchukua nafasi ya Manula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna taarifa kuwa Simba wamekuwa wakibebwa sana kwenye ligi labda sasa marefa wameogopa hizo zingine ni porojo tu.Wakuu,
Ni muda mrefu sasa nina mashaka na uwezo wa benchi la ufundi la Simba. Hata ushindi tunaopata ni juhudi binafsi zaidi kuliko maelekezo ya kiufundi.
Mechi ya leo ni mfano bora kabisa. Huwezi kuanza kwa kumtumia kiungo kama Kahata ambaye anacheza staili inayofanana na viungo wa Yanga! Mechi ya leo ilihitaji viungo wenye kasi zaidi.
Hata timu inapoonesha kulemewa hakuna mabadiliko ya haraka! Timu inacheza vile vile wakati plan zimeshafeli. Mkude alihitaji msaidizi wa kukaba sababu ya staili yake ya uchezaji lakini kumpanga na watu slow na wasio wakabaji kama Kahata na Chama ilifeli mapema toka mechi ianze na kulikuwa na hatari ya kupata hata kadi nyekundu ilipaswa benchi la ufundi ku change plan haraka!
Simba ina chief coach ambaye hana experience na kufundisha club zaidi ya kupatia experience Simba. Wachezaji wanatoa kila walichonacho lakini plan mbovu kwa mechi za kimbinu kama hizi zinawaangusha.
Simba ina timu bora kabisa, tunahitaji pia benchi la ufundi bora ili kitumia vipaji vilivyopo vizuri.
Nimeandika hili baada ya kufatilia mechi nyingi zaidi ya mechi ya leo na pengine ushindi hututia upofu lakini zipo mechi nyingi makocha wa timu pinzani wanafanikiwa kimbinu lakini wanazidiwa na experience ya wachezaji wa Simba kimbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli, Yaani watu wanaacha kumsifia Morrison kwa kupiga faulo nzuri, wanamlaumu manula ambaye alikaa sehemu sahihi na alijaribu kuifuata, ila alishindwa kwasababu Morrison alipiga shoot lenye kasi Sana.Lile goli...
Ni sehemu ukuta ulipokuwapo;
Mkude kidogo hakua vyema
Alimkosa msaidizi .
Sent using Jamii Forums mobile app
simba mechi hii ilishindwa sababu yanga wana kocha bora sielewi kwanini kocha amekuwa akimng'ang'ani boko na mkude.Fraga ni mzuri zaidi ya mkude lakini kila siku fraga benchi mkude anaanza, kabla ya hapo mkude alipewa kadi ya njano kwa rafu ya kijinga Manula akaenda kumfokea baada ya hapo akarudia kucheza rafu bila sababu sababu alikuwa na uwezo wa kuzuia.Boko amekuwa chini ya kiwango zaidi ya mechi nne lakini makocha wamekuwa wanamwacha hadi mwisho bila kujali hana madharaPamoja na matatizo ya bench la ufundi, mkude na boko wanahitaji wasaidizi.
Hapo kwa mkude siyo kweli kabisa, labda useme wacheze wote fraga chini na mkude juu. Lakini Kama nafasi ni moja hakuna kocha anayeweza kumuweka mkude nje akamuanzisha fraga. Mpira Mchezo wa wazi kabisa Kila mtu anawaona wote wawilisimba mechi hii ilishindwa sababu yanga wana kocha bora sielewi kwanini kocha amekuwa akimng'ang'ani boko na mkude.Fraga ni mzuri zaidi ya mkude lakini kila siku fraga benchi mkude anaanza, kabla ya hapo mkude alipewa kadi ya njano kwa rafu ya kijinga Manula akaenda kumfokea baada ya hapo akarudia kucheza rafu bila sababu sababu alikuwa na uwezo wa kuzuia.Boko amekuwa chini ya kiwango zaidi ya mechi nne lakini makocha wamekuwa wanamwacha hadi mwisho bila kujali hana madhara
haya ni maoni yako ila ukweli unajulikana.Hapo kwa mkude siyo kweli kabisa, labda useme wacheze wote fraga chini na mkude juu. Lakini Kama nafasi ni moja hakuna kocha anayeweza kumuweka mkude nje akamuanzisha fraga. Mpira Mchezo wa wazi kabisa Kila mtu anawaona wote wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi mkuu, kuna wakati nilisema kabla ya kuhangaika kutafuta viungo washambuliaji, tulipaswa tutafute kiungo mkabaji mmoja,beki wa kati mmoja na mshambuliaji mmoja atakayecheza na kageresimba mechi hii ilishindwa sababu yanga wana kocha bora sielewi kwanini kocha amekuwa akimng'ang'ani boko na mkude.Fraga ni mzuri zaidi ya mkude lakini kila siku fraga benchi mkude anaanza, kabla ya hapo mkude alipewa kadi ya njano kwa rafu ya kijinga Manula akaenda kumfokea baada ya hapo akarudia kucheza rafu bila sababu sababu alikuwa na uwezo wa kuzuia.Boko amekuwa chini ya kiwango zaidi ya mechi nne lakini makocha wamekuwa wanamwacha hadi mwisho bila kujali hana madhara
Utaratibu wa usajili wa Simba una magumashi mengi sanauko sahihi mkuu, kuna wakati nilisema kabla ya kuhangaika kutafuta viungo washambuliaji, tulipaswa tutafute kiungo mkabaji mmoja,beki wa kati mmoja na mshambuliaji mmoja atakayecheza na kagere
sasa tumejaza viungo washambuliaji wengi ambao wengine hatuwatumii.
Wakuu,
Ni muda mrefu sasa nina mashaka na uwezo wa benchi la ufundi la Simba. Hata ushindi tunaopata ni juhudi binafsi zaidi kuliko maelekezo ya kiufundi.
Mechi ya leo ni mfano bora kabisa. Huwezi kuanza kwa kumtumia kiungo kama Kahata ambaye anacheza staili inayofanana na viungo wa Yanga! Mechi ya leo ilihitaji viungo wenye kasi zaidi.
Hata timu inapoonesha kulemewa hakuna mabadiliko ya haraka! Timu inacheza vile vile wakati plan zimeshafeli. Mkude alihitaji msaidizi wa kukaba sababu ya staili yake ya uchezaji lakini kumpanga na watu slow na wasio wakabaji kama Kahata na Chama ilifeli mapema toka mechi ianze na kulikuwa na hatari ya kupata hata kadi nyekundu ilipaswa benchi la ufundi ku change plan haraka!
Simba ina chief coach ambaye hana experience na kufundisha club zaidi ya kupatia experience Simba. Wachezaji wanatoa kila walichonacho lakini plan mbovu kwa mechi za kimbinu kama hizi zinawaangusha.
Simba ina timu bora kabisa, tunahitaji pia benchi la ufundi bora ili kitumia vipaji vilivyopo vizuri.
Nimeandika hili baada ya kufatilia mechi nyingi zaidi ya mechi ya leo na pengine ushindi hututia upofu lakini zipo mechi nyingi makocha wa timu pinzani wanafanikiwa kimbinu lakini wanazidiwa na experience ya wachezaji wa Simba kimbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app