Hivyo vichezaji vyenu vyote japo vinarukaruka tu. Ajib+mmakonde+ mkude+ chama+kahata= Balama Mapinduzi. Usimguse kabisa Haruna
Mimi ni Yanga ila wewe unajua jua vitu tofauti na walalamikaji wengi humuSven na Aussems wote hawajui kubadili mbinu uwanjani, wanacheza namna moja wakati wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakolanya tena hawafai??Umejibu vyema sana. Abarola siyo mbadala wa Manula ana utoto mwingi. Ni bora kumchukua Metacha Mnata au golikipa kijana wa Biashara United tukamuandaa kuchukua nafasi ya Manula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wachezaji kama wangekuwa kama Balama Mapinduzi wasingekuwa wanaongoza ligi. Na kama Mapinduzi angekuwa kama hao wachezaji Yanga ingekuwa inaongoza ligi.Hivyo vichezaji vyenu vyote japo vinarukaruka tu. Ajib+mmakonde+ mkude+ chama+kahata= Balama Mapinduzi. Usimguse kabisa Haruna
Pamoja na maoni yako mazuri ya kitaalam, lkn hii mechi Simba walishindwa kabla ya kuingia uwanjani. Kosa kubwa lilifanywa na TFF aidha Kwa makusudi au Kwa kutokujua au Kwa kutokujali. Makosa ya timu ni madogo ingawa yapo. Nitaeleza kidogo.Wakuu,
Ni muda mrefu sasa nina mashaka na uwezo wa benchi la ufundi la Simba. Hata ushindi tunaopata ni juhudi binafsi zaidi kuliko maelekezo ya kiufundi.
Mechi ya leo ni mfano bora kabisa. Huwezi kuanza kwa kumtumia kiungo kama Kahata ambaye anacheza staili inayofanana na viungo wa Yanga! Mechi ya leo ilihitaji viungo wenye kasi zaidi.
Hata timu inapoonesha kulemewa hakuna mabadiliko ya haraka! Timu inacheza vile vile wakati plan zimeshafeli. Mkude alihitaji msaidizi wa kukaba sababu ya staili yake ya uchezaji lakini kumpanga na watu slow na wasio wakabaji kama Kahata na Chama ilifeli mapema toka mechi ianze na kulikuwa na hatari ya kupata hata kadi nyekundu ilipaswa benchi la ufundi ku change plan haraka!
Simba ina chief coach ambaye hana experience na kufundisha club zaidi ya kupatia experience Simba. Wachezaji wanatoa kila walichonacho lakini plan mbovu kwa mechi za kimbinu kama hizi zinawaangusha.
Simba ina timu bora kabisa, tunahitaji pia benchi la ufundi bora ili kitumia vipaji vilivyopo vizuri.
Nimeandika hili baada ya kufatilia mechi nyingi zaidi ya mechi ya leo na pengine ushindi hututia upofu lakini zipo mechi nyingi makocha wa timu pinzani wanafanikiwa kimbinu lakini wanazidiwa na experience ya wachezaji wa Simba kimbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hauna fikra panaHivyo vichezaji vyenu vyote japo vinarukaruka tu. Ajib+mmakonde+ mkude+ chama+kahata= Balama Mapinduzi. Usimguse kabisa Haruna
Kuna watu ukiwaambia wanabisha fraga no binge la mchezaji Yuko kikazi zaidi anaziba njia hakai na Moira ikitokea nafasi anafunga mkude yupo kibishoo zaidi siyo mkude wa miaka minne iliyopitaNakuunga mkono,fraga alitakiwa kuanza sababu anajua kunusa hatari na mtu wa kutumia minguvu kama viungo wa yanga,simba inacheza kibishoo sana na kwa style hiyo itachukua muda sana kuifunga yanga sababu yanga wakicheza na yanga wanacheza kufa na kupona kitu ambacho simba hawana kasi hiyo,fraga anakaba sana katika viungo wa simba anatakiwa kuanza mechi nyingi
Viongozi wa Simba no mbumbumbu na yaani wwanakaa kimya Kama yatima wapowapo tuPamoja na maoni yako mazuri ya kitaalam, lkn hii mechi Simba walishindwa kabla ya kuingia uwanjani. Kosa kubwa lilifanywa na TFF aidha Kwa makusudi au Kwa kutokujua au Kwa kutokujali. Makosa ya timu ni madogo ingawa yapo. Nitaeleza kidogo.
Duniani pote inapofika mechi ngumu kama hizi Derby za watami au Ile el clasico ya Hispania, timu zinapewa muda mzuri wa kujiandaa si chini ya wiki moja. Zikilazimika kuchezea mechi kabla ya mechi za Derby, zitacheza na timu za kawaida kabla ya hizo Derby.
Safari hii ktk hali ya kushangaza, siku tatu kabla ya mechi ya watani Simba ilipangwa kucheza na Azam moja ya timu ngumu Tanzania Kwa sasa. Waliofuatilia mechi Ile ilikuwa ngumu sana na Simba ilishinda Kwa mbinde. Kitendo cha kufuatiwa na mechi nyingine ngumu kama ya Yanga, kuliwachosha wachezaji sana Kwa kuwa almost timu ilikuwa Ile Ile iliyocheza na Azam.
Kwa hiyo Simba walizidiwa na wachezaji walikuwa wamechoka. Kama Yanga ingejipanga vizuri ingeweza hata kushinda Kwa goli tatu.
Mengine madogo mi timu kujiamini kupita kiasi na kudhani Yanga ni wanyonge. Hili lilichangia Kwa sehemu ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachonishangaza inakuwaje mtu kama Matola hali akiijua vizuri Yanga inavyocheza kwa nguvu na kasi akaacha kumpanga kiungo mkabaji nyuma ya Mkude.Kuna watu ukiwaambia wanabisha fraga no binge la mchezaji Yuko kikazi zaidi anaziba njia hakai na Moira ikitokea nafasi anafunga mkude yupo kibishoo zaidi siyo mkude wa miaka minne iliyopita
Hakika mkuu. Tactically coach wa simba ana mapungufu mengi sana. Ukitazama mechi zote ambazo simba anakutana na wapinzani wenye kupush timu inakuwa haina utulivu, No urgency,. Unamuacha chama anacheza dk 90, huku unaanza na kiungo mkabaji mmoja...poor game plan
Matola asilaumiwe yy ni mshauri tu kwa Sven Mie nadhani uongozi utoke useme kwani kocha akiharibu ataondoka na si ajabu akajiunga na wapinzani wetu hao hao anaowapa unafuu leo kwenye upangaji timu sie hatuna pa kwendaKinachonishangaza inakuwaje mtu kama Matola hali akiijua vizuri Yanga inavyocheza kwa nguvu na kasi akaacha kumpanga kiungo mkabaji nyuma ya Mkude.
Matola amecheza Simba muda mrefu na anaijua falsafa ya Yanga nini kilimfanya ajichanganye hivyo, au kocha anampuuza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwalya yuko Zambia ana matatizo.. ngoja LWANGA azame ndani usajili mpyaHivi Bwaliya ameuzwa? Maana simuoni wala kumsikia. Mechi ya jana hali ilikuwa tete, tumshuru refa alikuwa nyuma ya tukio hakuona vizuri akatoa penati. Ila bench la ufundi linahitaji mbadala
Ila Chris Mugalu sielewi kwa nini mlimsajili yaani utadhani Waziri Junior Chetembwa.
Nahisi Mo anapenda makocha wa bei rahisi kwa timu inayotaka bora afrika lazima awekeze kwenye benchi la ufundi.Mo utashtuka tupo nje champion league na VPL ubingwa rehani
Brazil ya 98 na 2006 ilikuwa na vikosi bora lakini haikubeba kombe sababu makocha wao walikosa mbinu za ziadaNi kawaida team kutamba kwa uwezo wa wachezaji Binafsi,IPO exceptional moja tu ya Ajax class of 1992.Brazil iliinuliwa na Kina Zico, Socrates, Garincha, Pele, Tostao,Romario,Bebeto,Ronaldinho,De Lima,Kaka, Argentina Class of 1986 iliinuliwa na Maradona, Barcelona iliinuliwaga na kina Johan Cruyff, Ronaldinho,Xavi, Iniesta na Messi, Real Madrid iliinuliwa tangu kale na Kina Ferenc Puskas na Alfredo De Stefano na Ronaldo.Wala sio Dhambi team kuinuliwa na viwango binafsi.kwa mpangilio wa hoja zako INA maana vikosi vyote hivyo vilikuwa na Makocha Wabovu???