Kama kakosewa tunaongea ukweli tu yeye Nan??Wana Yang'a hawataki kusikia kukosolewa kwa wachezaji wao hasa Benadi
Mwehu huyo [emoji23]Mwamba huyu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2621404
Naunga mkono hoja. Kama viongozi wa Yanga watakosa kabisa mbadala wake mwenye ubora wa hali ya juu, basi ni bora tu wakamrejesha Yacouba Sogne kutoka Ihefu!Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kabisa Tena kwa moyo mkunjufu kwa Yanga sc kutwaa ubingwa /kuchukua kombe la Nbcpl kwa Mara ya ishirini na tisa (29).
Hakika pongezi hizi zifike kwa viongozi wa simba, ooh kumradhi viongozi wa Yanga sc , benchi la ufundi pamoja na mashabiki hakika hakika mnastahili sifa.
Twende moja kwa moja kwenye maada Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.
NALIA NGWENA, nilishitushwa kidogo kuona Benard Morrison (Toto tundu) kufanyiwa "sub" lakina hakutaka kutoka na huku aliyetakiwa kubadilishana naye (Clement mzinze) alikua tayari kasimama na alisimama nje kwa dk tano (5).
Mpaka mashabiki walipoanza kumzomea Morrison ndipo akatii wito wa kutoka nje na Clement mzinze akaingia.
Kimtazamo huu ni utovu wa nidhamu, Prof Nabbi hakutaka kumpa hata mkono na Morrison alikwenda benchi hakutaka hata kuwapa mikono wachezaji wenzake.
Sub ya Clement mzinze ilikwenda kuzaa matunda nakupata goli la kusawazisha.
Morrison hastahili kuwa Yanga msimu unaokuja, utoto wa namna hii na ujinga utakuja kuigharimu timu.
Kweli kabisa mkuu anahitajika mchezaji mwenye talanta na nidhamu siyo huyo mwenda wazimuNaunga mkono hoja. Kama viongozi wa Yanga watakosa kabisa mbadala wake mwenye ubora wa hali ya juu, basi ni bora tu wakamrejesha Yacouba Sogne kutoka Ihefu!
Ila siyo Bernard Morrison, ambaye kiukweli mchango wake umebakia kuwa mdogo sana katika timu yetu.
Kipindi alivyokua Simba alienda?At least mmeona hilo...kwani sauzi anaenda?
Labda adhabu imeisha...
Huyo dogo hawezi kubadilika kabisa huyo ni sikio la kufa.Morrison anajua mpira ila sijui kama yupo sawa kichwani yeye hata kupata kadi yeyote kwenye mechi muhimu haoni tabu kwa wale Wydady wanaotengeneza mazingira ya Kadi nyekundu kama walivyofanyiwa Mamelodi jana huyo Morrison achukui hata dakika kadhaa anatengenezewa mazingira ya nje ili wapate ushindi kirahisi...
Kalata yangu aondoke kisinda na morrisoniMorison, kisinda, moloko wawili kati yao waondoke....lkn morison iwe lzm, nidhamu ni kitu muhimu sn
[emoji23] Bora hata lomalisa lakini siyo Morrison anakela mno huyu dogo.Hii tabia hata lomalisa anayo,sijui ni mibangi ya aina gan wanavuta hawa mbweh
Sawa boss, na moloko akipatikana winger mzr na mwenye kasi na yeye atupishe....kwa heshima tutawaaga, na huyu feisal aombe samahani then tuendelee kushehekea ubingwa msimu ujao
Wampe kibunda Pro Nabbi achague wachezaji anaowataka yeye hakika tutaona mzuri kutoka yanga.Sawa boss, na moloko akipatikana winger mzr na mwenye kasi na yeye atupishe....kwa heshima tutawaaga, na huyu feisal aombe samahani then tuendelee kushehekea ubingwa msimu ujao
Yaani huna hoja kabisa bora ukae kimya.Tanzania mchezaji akifunga kwenye mechi ya simba na yanga tu basi basi hata afanye ujinga gani watu hawana mda nae na juzi katoka kufunga kwenye kombe la looser akichukua goal lake mngeshinda kweli ile mechi.
Kamgonga nanKashagongaa mtu huko,hamjaskia??