Kufunga goli katika mazingira magumu sio tiketi ya kufanya utovu wa nidhamuKwanini mashabiki wamzomee Morrison wakati juzi tu hapo kupitia jitihada zake katoka kufunga goli katika mazingira magumu?
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Tanzania mchezaji akifunga kwenye mechi ya simba na yanga tu basi basi hata afanye ujinga gani watu hawana mda nae na juzi katoka kufunga kwenye kombe la looser akichukua goal lake mngeshinda kweli ile mechi.
Sasa anapofanyiwa sub ndiyo akatae.Morrison kule South Mechi ya marudiano haendi maaana amepigwa Ban ya maisha kuingia South. The best moment kwake ilikua mechi ya juzi
Kweli kabisa yaani aende huko.Yangu ilimchukuwa wakitegemea uwezo wake na ametusaidia sana ila kwa hatua tuliyofikia hatumuhitaji tena tunashukuru kwa huduma yake, akatafuta maisha sehemu nyingine huko ambako anaweza kuwaendesha atakavyo
Hata mimi nliona hivyo Nabi aka mindMakosa yalianzia kwa Refari wakibao,alionesha anaye ingia tu ila hakuonesha anayetoka,angalieni marudio utakuja kusahihisha uzi wako.
Kwanini mashabiki wa Simba waliwazomea wachezaji wao kutoka Nangwanda mpk Dar?, Wakati wamewafikisha nusu fainali FA na robo fainali CAF!.Kwanini mashabiki wamzomee Morrison wakati juzi tu hapo kupitia jitihada zake katoka kufunga goli katika mazingira magumu?
Huyo jamaa humuwezi unataka kuchokoza ubishiKwanini mashabiki wa Simba waliwazomea wachezaji wao kutoka Nangwanda mpk Dar?, Wakati wamewafikisha nusu fainali FA na robo fainali CAF!.
Makolo watamsajili tenaMsimu ujao tunamtoa
Hivi kwanini unafikiri mimi ni mbishi? (japo ni kweli ila sio muda wote)Huyo jamaa humuwezi unataka kuchokoza ubishi
Endelea kuijua hivyo hivyo na umbumbumbu wako.Hii ndio bongo niijuayo mimi sasa
Hiyo misemo ya wahenga tu.Ukipenda boga penda na jani lake!
Chama akienda msalani na alionyesha ishara kwamba atarejea.Wachezaji wanakuwaga na ushamba wakujikuta wao tu ndio bora wa kucheza dakika zote kuliko wengine.
Mfano Chama siku ile japo hata mimi sikuridhishwa na sub yake ila sikupenda reaction yake baada ya kutolewa.
Chama mbona alitoa ishara kuwa anarudi, na alirudi akakaa benchi?Mfano Chama siku ile japo hata mimi sikuridhishwa na sub yake ila sikupenda reaction yake baada ya kutolewa.