Benchi la ufundi Yanga sc, nadhani mmeona dharau alizozionesha Benard Morrison kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Dodoma jiji Fc

Benchi la ufundi Yanga sc, nadhani mmeona dharau alizozionesha Benard Morrison kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Dodoma jiji Fc

Morrison kule South Mechi ya marudiano haendi maaana amepigwa Ban ya maisha kuingia South. The best moment kwake ilikua mechi ya juzi
 
Kwanini mashabiki wamzomee Morrison wakati juzi tu hapo kupitia jitihada zake katoka kufunga goli katika mazingira magumu?
Kufunga goli katika mazingira magumu sio tiketi ya kufanya utovu wa nidhamu
 
Tanzania mchezaji akifunga kwenye mechi ya simba na yanga tu basi basi hata afanye ujinga gani watu hawana mda nae na juzi katoka kufunga kwenye kombe la looser akichukua goal lake mngeshinda kweli ile mechi.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Yangu ilimchukuwa wakitegemea uwezo wake na ametusaidia sana ila kwa hatua tuliyofikia hatumuhitaji tena tunashukuru kwa huduma yake, akatafuta maisha sehemu nyingine huko ambako anaweza kuwaendesha atakavyo
 
Makosa yalianzia kwa Refari wakibao,alionesha anaye ingia tu ila hakuonesha anayetoka,angalieni marudio utakuja kusahihisha uzi wako.
 
Yangu ilimchukuwa wakitegemea uwezo wake na ametusaidia sana ila kwa hatua tuliyofikia hatumuhitaji tena tunashukuru kwa huduma yake, akatafuta maisha sehemu nyingine huko ambako anaweza kuwaendesha atakavyo
Kweli kabisa yaani aende huko.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wachezaji wanakuwaga na ushamba wakujikuta wao tu ndio bora wa kucheza dakika zote kuliko wengine.

Mfano Chama siku ile japo hata mimi sikuridhishwa na sub yake ila sikupenda reaction yake baada ya kutolewa.
Chama akienda msalani na alionyesha ishara kwamba atarejea.
 
Mfano Chama siku ile japo hata mimi sikuridhishwa na sub yake ila sikupenda reaction yake baada ya kutolewa.
Chama mbona alitoa ishara kuwa anarudi, na alirudi akakaa benchi?
 
Back
Top Bottom