Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Uamuzi wake wa kuifundisha SSC haukupitia analysis ya kutosha, amekwenda kwenye Club ambayo imeshusha thamani na ukubwa wake na hili ni kosa la kiutendaji
Imagine, Ndani ya kipinidi ambacho Yanga imeachana na kocha mmoja tu ; Simba SC, imeachana Uchebe, baada ya Uchebe akaja Gomezi na baada ya Gomezi akaja Kishingo na baada ya kishingo akaja Robertinyo, na baada ya mzee Objective akaja Mgunda na baada ya Mgunda akaja Alhaji benchika na baada ya Alhaji akaja Mgunda , now tell me , what do you think ?
something is wrong ndani ya composition ya SSC
Taasisi ya SSC bado haijawa na management inayoweza kugeuza mpira kama biashara; they have old ways of doing things. Management ya sasa imeshindwa kutengeneza timu yao ya ushindi, bado inaishi na jina la SSC iliyotengenezwa na Hans Pop Kama muhuni wa sajili za kimkakati.
Nasikitika kuona hakuna reaction yoyote kutoka wanachama wa SSC, hii pia ni ishara mbaya inawezekana wanachama wa SSC sio sehemu ya SSC even by 1% ndio maana wanachama wamekuwa kama mashabiki kulalamika bila ya ACTION.
Hiki kinachoendelea ndani ya SSC nilitegemea kuona wanachama wakidai majibu sahihi na mustakabali wa timu yao ikiwa ni pamoia na kushinikiza UONGOZI wa sasa utoke madarakani kisha kuundwa tume ya uchunguzi na mazingira ya kula rushwa kuanzia Mo na management yake.
Kuna viashiria vya Rushwa kuanzia muundo ambao Mo ana claim ametoa Bil 20, kuna viashiria vya rushwa kwenye kamati ya usajili, kuna viashiria vya rushwa kwenye management ya SSC.
Majibu yote yanaweza kupatikana endapo wanachama wa SSC wataamua kuamka, sioni kama ni sahihi wao kukaa kimya.
Last, Mgunda JITAFAKARI, SSC itakuulia career path yako, unatakiwa kukataa hizo offer now, unless SSC ikufanye headcoach with salary of 90M monthly kama jinsi ambavo wanalipa wageni, hakuna tafauti zaidi ya mentality ya kipuuzi