Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyura bhana 😂Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao
Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
AahaaaKocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao
Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
Kaenda SUPKaenda course ya siku tano
Haya kaenda course kwao, muda ni mwalimuKaenda koz Algeria
ameenda kusomaKocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao
Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
Sasa mkuu atakwendaje kwao bila kutoweka ...?Kwenda kwao ndio kutoweka?
kutoweka maana yake hajulikani yupo wapiSasa mkuu atakwendaje kwao bila kutoweka ...?
Ina maana anaweza kuwa kwao na hapa nchini muda huo huo ?
Jamaa atasema katekwa ha ha ha😎Kwenda kwao ndio kutoweka?
Nyimbo ya bell9 hiho.Amerudi