Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Hakuna mabadiliko yoyote ya team kwenye performance kuonesha yeye ni kocha mkubwa, hakuna mbinu yoyote aliyoiongeza kwenye kikosi alichokikuta,
Upangaji wake wa kikosi ni wa hovyo amekalili kikosi,hatoi nafasi kwa wachezaji wengine, Wachezaji wa muhimu kwake ni kibu na Saidoo, wachezaji wanaoongoza kwa kupoteza mipira na kupoteza nafasi
Kocha aliyeshauri kuondolewa ka phiri na Baleke kwa pamoja, wakaletwa Fredy na Jobe ambao hawaamini kwenye game kubwa, kwenye mechi kubwa anampanga Saidoo kama namba 9, na saidoo ni mchezaji anaeongoza kwa kupoteza nafasi iweje kocha mwenye weredi unampanga saidoo eneo hilo?
Hakuna tofauti kati yake na robertinho, Unahitaji wachezaji wa Profile gani Kuwafunga ihefu,mashujaa mlandege na Prisons waliopungufu?
Benchikha akimaliza mechi zilizosalia, Simba wasahau kumaliza Nafasi ya Pili
Benchikha ni Morinyo wa Africa mbini za soka lao zimepitwa na Wakati
Kibu kacheza meche 20 Nbc kafunga goli 1 ila kila mechi kibu yumo, weka benchi wape nafasi wachezaji wengine, ili kibu ajifunze