Benchika kuondoka Simba ni Sawa tu,Kafeli

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Hakuna mabadiliko yoyote ya team kwenye performance kuonesha yeye ni kocha mkubwa, hakuna mbinu yoyote aliyoiongeza kwenye kikosi alichokikuta,

Upangaji wake wa kikosi ni wa hovyo amekalili kikosi,hatoi nafasi kwa wachezaji wengine, Wachezaji wa muhimu kwake ni kibu na Saidoo, wachezaji wanaoongoza kwa kupoteza mipira na kupoteza nafasi

Kocha aliyeshauri kuondolewa ka phiri na Baleke kwa pamoja, wakaletwa Fredy na Jobe ambao hawaamini kwenye game kubwa, kwenye mechi kubwa anampanga Saidoo kama namba 9, na saidoo ni mchezaji anaeongoza kwa kupoteza nafasi iweje kocha mwenye weredi unampanga saidoo eneo hilo?

Hakuna tofauti kati yake na robertinho, Unahitaji wachezaji wa Profile gani Kuwafunga ihefu,mashujaa mlandege na Prisons waliopungufu?

Benchikha akimaliza mechi zilizosalia, Simba wasahau kumaliza Nafasi ya Pili

Benchikha ni Morinyo wa Africa mbini za soka lao zimepitwa na Wakati

Kibu kacheza meche 20 Nbc kafunga goli 1 ila kila mechi kibu yumo, weka benchi wape nafasi wachezaji wengine, ili kibu ajifunze
IMG-20240328-WA0008.jpg
 
Hakuna mabadiliko yoyote ya team kwenye performance kuonesha yeye ni kocha mkubwa, hakuna mbinu yoyote aliyoiongeza kwenye kikosi alichokikuta,

Upangaji wake wa kikosi ni wa hovyo amekalili kikosi,hatoi nafasi kwa wachezaji wengine, Wachezaji wa muhimu kwake ni kibu na Saidoo, wachezaji wanaoongoza kwa kupoteza mipira na kupoteza nafasi

Kocha aliyeshauri kuondolewa ka phiri na Baleke kwa pamoja, wakaletwa Fredy na Jobe ambao hawaamini kwenye game kubwa, kwenye mechi kubwa anampanga Saidoo kama namba 9, na saidoo ni mchezaji anaeongoza kwa kupoteza nafasi iweje kocha mwenye weredi unampanga saidoo eneo hilo?

Hakuna tofauti kati yake na robertinho, Unahitaji wachezaji wa Profile gani Kuwafunga ihefu,mashujaa mlandege na Prisons waliopungufu?

Benchikha akimaliza mechi zilizosalia, Simba wasahau kumaliza Nafasi ya Pili

Benchikha ni Morinyo wa Africa mbini za soka lao zimepitwa na Wakati

Kibu kacheza meche 20 Nbc kafunga goli 1 ila kila mechi kibu yumo, weka benchi wape nafasi wachezaji wengine, ili kibu ajifunzeView attachment 2975920
Kawapa kikombe Cha muungano kwa kishindo uoni mafanikio ayo?
 
Hivi mlimuzagamua kutoka wapi huyu
 
Pumba
 
Back
Top Bottom