Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
hapa ita sumbuaπ, sijui nikwambie wapiπSijaelewa kitu jamani π
Popote π€£π€£ au kule mentionhapa ita sumbuaπ, sijui nikwambie wapiπ
Hapana.Popote π€£π€£ au kule mention
Mimi mwenyewe nashangaa. Yule msaidizi wake amefanya naye kazi miaka kibao, kila anapokwenda anakwenda naye. Na Benchikha anapoenda kuuguza (kama ni kweli au si kweli) siyo kwamba anaacha kufundisha, uwezekano mkubwa ni kuwa atatafuta timu ya karibu na kwao kwa hiyo hao wasaidizi wake wataendelea naye.Heee mbona mmekazana sana na hili swali.??hao ni wasaidizi wake..wamejiriwa kupitia yeye popote atakapokwenda anaenda nao...mbona mnajitoa ufahamu?
Yani unajua akili za watu humu mpk nashangaa..akili ndogo tuu za kureason..watu wamekuja na kocha mkuu kama wasaidizi wake how come wabaki?Mimi mwenyewe nashangaa. Yule msaidizi wake amefanya naye kazi miaka kibao, kila anapokwenda anakwenda naye. Na Benchikha anapoenda kuuguza (kama ni kweli au si kweli) siyo kwamba anaacha kufundisha, uwezekano mkubwa ni kuwa atatafuta timu ya karibu na kwao kwa hiyo hao wasaidizi wake wataendelea naye.
Na kwenye malipo wale wanalipwa kama package. Wanajua wazee wa chokochoko ila wanajitoa ufahamu wapate cha kusemaYani unajua akili za watu humu mpk nashangaa..akili ndogo tuu za kureason..watu wamekuja na kocha mkuu kama wasaidizi wake how come wabaki?
Wamepata content....ngoja waandike script ili wauze...Na kwenye malipo wale wanalipwa kama package. Wanajua wazee wa chokochoko ila wanajitoa ufahamu wapate cha kusema
Labda bado wana kumbukumbu jinsi walivyomlilia yule kocha va viungo manywele baada ya kuondoka Nabi, jamaa akasepa zake. Nabi aliondoka na kijijiWamepata content....ngoja waandike script ili wauze...
Ban imeisha π€£π€£Heee mbona mmekazana sana na hili swali.??hao ni wasaidizi wake..wamejiriwa kupitia yeye popote atakapokwenda anaenda nao...mbona mnajitoa ufahamu?
Imeisha dear....kuna jipya? π€£π€£π€£π€£Ban imeisha π€£π€£
Duh lini tena ulipigwa ban? Hadi wewe? ππImeisha dear....kuna jipya? π€£π€£π€£π€£
Maana nilikua natetea halafu mimi ndo nikala ban..
Hakuna cha mkewe wala nini ...maana kama ingekua mke anaumwa wale wasaidizi si wangebaki tuu..au na wao wake zao wanaumwa??? Si wamsubiri aje.....Tukubali timu ina Kocha ambae mpk sasa ata kama yuko safarini yuko na stress mno [emoji23][emoji23]heyyyy
sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe,
swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake??
tunachanganyikiwa shagala bagala
Ee bana ni last week alhamis au j5 kama sikosei hivi...kule selfika hali ha hewa ilichafuka sanaa..sasa baada ya kutetea ile kesi na kutoa tusi kwa hao malume ndago ndo nikala ban... π€£ π€£ my first Ban...Duh lini tena ulipigwa ban? Hadi wewe? ππ
Pole sana. Kweli hali ilichafuka hadi wewe upigwe ban πππEe bana ni last week alhamis au j5 kama sikosei hivi...kule selfika hali ha hewa ilichafuka sanaa..sasa baada ya kutetea ile kesi na kutoa tusi kwa hao malume ndago ndo nikala ban... π€£ π€£ my first Ban...