Benchika kwenda kumuuguza mkewe, swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake?

Kwanini asiende kuuguza mke wake wasaidizi wake wabaki mkewe akipona arudi kazini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwani barua mmesoma au mmesomewa?? Ameondoka harudii..Jamani mbona mnafanya akili nzito hivyo kama magimbi? Ameondoka..kwa sasa anashika timu Mgunda mpk pale watakapopata kocha mwingine
 
Wewe ndio una akili nzito unashidwa kufikiria tangu lini kuuguza ikawa sababu ya mtu kuacha kazi? Mbona kipindi kile alienda kusoma hakwenda nao kusoma? mimi ni mwanasimba ila sio mbumbumbu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio una akili nzito unashidwa kufikiria tangu lini kuuguza ikawa sababu ya mtu kuacha kazi? Mbona kipindi kile alienda kusoma hakwenda nao kusoma? mimi ni mwanasimba ila sio mbumbumbu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwani nyie mnataka nini mbona hamueleweki?? Katoa sbb ya yy kuondoka anauguza na ameacha kazi sasa shida yako nini...?? Kama kuna vitu vinaendelea huko ndani hajavisema ila yy katoa hyo sababu...mmekuja na vi hoja dhaifu ooh kwanini anaenda na wasaidizi wake walitaka awaache wawatumikie wao? Maana ya msaidizi wako ni nini...
Mimi pia sio mbumbu huwa na reason kwanza...watu wakitaka kuacha kitu huwa wanakuja na sababu zao so hyo ndo yake..msimpangie...
Tujipange na mengine ndo kashesepa...
 
Labda bado wana kumbukumbu jinsi walivyomlilia yule kocha va viungo manywele baada ya kuondoka Nabi, jamaa akasepa zake. Nabi aliondoka na kijiji
Manywele alienda na Nabi au umelopoka bila kujua, kila mtu alienda kimpango wake, Manywele south, Nabi Morroco, Cedrick Kaze Tz
 
Kwani nimesema aliambatana naye huko alipokwenda au nimesema waliondoka wakati mmoja pamoja na kwamba wengi wenu mlimlilia abaki? Na kimsingi aliondoka kwa sababu Nabi ndiye aliyemleta.
 
Back
Top Bottom