Kwanini asiende kuuguza mke wake wasaidizi wake wabaki mkewe akipona arudi kazini?Heee mbona mmekazana sana na hili swali.??hao ni wasaidizi wake..wamejiriwa kupitia yeye popote atakapokwenda anaenda nao...mbona mnajitoa ufahamu?
Kwani barua mmesoma au mmesomewa?? Ameondoka harudii..Jamani mbona mnafanya akili nzito hivyo kama magimbi? Ameondoka..kwa sasa anashika timu Mgunda mpk pale watakapopata kocha mwingineKwanini asiende kuuguza mke wake wasaidizi wake wabaki mkewe akipona arudi kazini?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wewe ndio una akili nzito unashidwa kufikiria tangu lini kuuguza ikawa sababu ya mtu kuacha kazi? Mbona kipindi kile alienda kusoma hakwenda nao kusoma? mimi ni mwanasimba ila sio mbumbumbuKwani barua mmesoma au mmesomewa?? Ameondoka harudii..Jamani mbona mnafanya akili nzito hivyo kama magimbi? Ameondoka..kwa sasa anashika timu Mgunda mpk pale watakapopata kocha mwingine
benchika huacha na kuajiriwa na wasaidizi wakeheyyyy
sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe,
swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake??
tunachanganyikiwa shagala bagala
Kwani nyie mnataka nini mbona hamueleweki?? Katoa sbb ya yy kuondoka anauguza na ameacha kazi sasa shida yako nini...?? Kama kuna vitu vinaendelea huko ndani hajavisema ila yy katoa hyo sababu...mmekuja na vi hoja dhaifu ooh kwanini anaenda na wasaidizi wake walitaka awaache wawatumikie wao? Maana ya msaidizi wako ni nini...Wewe ndio una akili nzito unashidwa kufikiria tangu lini kuuguza ikawa sababu ya mtu kuacha kazi? Mbona kipindi kile alienda kusoma hakwenda nao kusoma? mimi ni mwanasimba ila sio mbumbumbu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Manywele alienda na Nabi au umelopoka bila kujua, kila mtu alienda kimpango wake, Manywele south, Nabi Morroco, Cedrick Kaze TzLabda bado wana kumbukumbu jinsi walivyomlilia yule kocha va viungo manywele baada ya kuondoka Nabi, jamaa akasepa zake. Nabi aliondoka na kijiji
Kwani nimesema aliambatana naye huko alipokwenda au nimesema waliondoka wakati mmoja pamoja na kwamba wengi wenu mlimlilia abaki? Na kimsingi aliondoka kwa sababu Nabi ndiye aliyemleta.Manywele alienda na Nabi au umelopoka bila kujua, kila mtu alienda kimpango wake, Manywele south, Nabi Morroco, Cedrick Kaze Tz