Simba imepata nafasi zaidi ya 20 za mashambulizi mazuri kutengeneza magoli ya wazi kabisa wameshindwa, umakini ni mdogo mno wanapokaribia lango la adui
Tatizo sio kocha, tatizo la simba ni wachezaji
Dakika kuanzia ya 70 wachezaji wa simba wamepoteana kabisa Sarr na Ngoma ni kama wamechoka wako hoi wanapoteza mipira na kupiga pasi mkaa nyingi, Al Ahly wanajivuna matokeo haya
Simba ijipange tu kufanya usajili wa kikubwa kwa ajili ya msimu ujao hakuna nafasi ya wao kusonga mbele tena huo ndio ukweli mchungu, inasikitisha sana aisee