Benchika ni kocha mzuri hatumdai, tatizo ni kikosi

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
273
Reaction score
765
Simba imepata nafasi zaidi ya 20 za mashambulizi mazuri kutengeneza magoli ya wazi kabisa wameshindwa, umakini ni mdogo mno wanapokaribia lango la adui

Tatizo sio kocha, tatizo la simba ni wachezaji

Dakika kuanzia ya 70 wachezaji wa simba wamepoteana kabisa Sarr na Ngoma ni kama wamechoka wako hoi wanapoteza mipira na kupiga pasi mkaa nyingi, Al Ahly wanajivuna matokeo haya

Simba ijipange tu kufanya usajili wa kikubwa kwa ajili ya msimu ujao hakuna nafasi ya wao kusonga mbele tena huo ndio ukweli mchungu, inasikitisha sana aisee
 
Mlivunja team nzuri kati ya msimu Kisha mmeleta watu ajabu ili mmpate ten percent

Objectif hakupaswa kuondoka

Baleke alipaswa abaki

Phiri abaki hapo mngeshinda hapa na kule mna draw
 
Ohoooo
 
Attachments

  • FB_IMG_17117439328394329.jpg
    FB_IMG_17117439328394329.jpg
    390.2 KB · Views: 2
Simba imepata nafasi zaidi ya 20 za mashambulizi mazuri kutengeneza magoli ya wazi kabisa wameshindwa, umakini ni mdogo mno wanapokaribia lango la adui

Tatizo sio kocha, tatizo la simba ni wachezaji

Dakika kuanzia ya 70 wachezaji wa simba wamepoteana kabisa Sarr na Ngoma ni kama wamechoka wako hoi wanapoteza mipira na kupiga pasi mkaa nyingi, Al Ahly wanajivuna matokeo haya

Simba ijipange tu kufanya usajili wa kikubwa kwa ajili ya msimu ujao hakuna nafasi ya wao kusonga mbele tena huo ndio ukweli mchungu, inasikitisha sana aisee
Usajili gan Simba wanaouweza.Hao janja janja fc
 
Hamna kocha hapo .... Angekuwa mzee wa pira objective .. Aly Ahly angekaa hata Gori 3. Afu kule Misri mtachezea Kono la nyani ,😜😅😅
🤣🤣🤣 Kungekuwa hamna maana sasa ka kushinda tatu hapa. Zingesaidia kuzima moto wa ubovu wao tu
 
Back
Top Bottom