Benchika sio kocha. Huwezi pangiwa timu

Benchika sio kocha. Huwezi pangiwa timu

Alivyokuja akajifanya hana mpango na Boko vile.

Akaanza kuwabwaga Chama na Phiri. Na akiendelea kuwasikiliza anaenda kuiua timu kifo cha mende.
Ama kweli thith ith Thimba. Mapema tu kocha hafai? Mechi ya marudiano na Yanga mkipigwa wiki itakuwaje?
 
Haki tena hii timu ina mambumbumbu wengi.
 
Yanga tunashusha fowad wa maana na winga ya maana, next round tunamchapa Simba tena si chini ya goli 5.
 
Kwa vyovyote vile sharti ni lazima Boko acheze mara moja moja kwasababu ndio msukule wa Simba.
 
Back
Top Bottom