William Mshumbusi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 1,761 Reaction score 2,391 Dec 23, 2023 #1 Alivyokuja akajifanya hana mpango na Boko vile. Akaanza kuwabwaga Chama na Phiri. Na akiendelea kuwasikiliza anaenda kuiua timu kifo cha mende.
Alivyokuja akajifanya hana mpango na Boko vile. Akaanza kuwabwaga Chama na Phiri. Na akiendelea kuwasikiliza anaenda kuiua timu kifo cha mende.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Dec 23, 2023 #2 Mbona mapema sana
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 9,872 Reaction score 16,319 Dec 23, 2023 #3 Tayarii Cd imeanza ku scrashiiiiii Quuuueeeh quuueh quuuh[emoji23][emoji23][emoji23]
J John Creasy Senior Member Joined Jul 27, 2023 Posts 176 Reaction score 298 Dec 23, 2023 #4 William Mshumbusi said: Alivyokuja akajifanya hana mpango na Boko vile. Akaanza kuwabwaga Chama na Phiri. Na akiendelea kuwasikiliza anaenda kuiua timu kifo cha mende. Click to expand... Ama kweli thith ith Thimba. Mapema tu kocha hafai? Mechi ya marudiano na Yanga mkipigwa wiki itakuwaje?
William Mshumbusi said: Alivyokuja akajifanya hana mpango na Boko vile. Akaanza kuwabwaga Chama na Phiri. Na akiendelea kuwasikiliza anaenda kuiua timu kifo cha mende. Click to expand... Ama kweli thith ith Thimba. Mapema tu kocha hafai? Mechi ya marudiano na Yanga mkipigwa wiki itakuwaje?
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Dec 24, 2023 #5 Haki tena hii timu ina mambumbumbu wengi.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Dec 24, 2023 #6 Yanga tunashusha fowad wa maana na winga ya maana, next round tunamchapa Simba tena si chini ya goli 5.
Yanga tunashusha fowad wa maana na winga ya maana, next round tunamchapa Simba tena si chini ya goli 5.
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,358 Reaction score 4,263 Dec 24, 2023 #7 Kwa vyovyote vile sharti ni lazima Boko acheze mara moja moja kwasababu ndio msukule wa Simba.