Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Tunakwenda uwanjani kwa sababu yako Benchika, sio kwa sababu ya Ahmed Ally na viongozi wake.
Tunakuja uwanjani kuishangilia Simba coz umetushawishi sana, soka letu limebadillika, tunakuombea kwa mungu tupate ushindi leo ili kufufua matumaini ya kusonga mbele.
Ombi langu mashabiki na wanachama, mimi kiongozi wenu hapa jamiiforums mpira una matokeo matatu 3, hatusemi kuwa ni lazima Wydad afe leo, hapana, ila kwa idhini ya mwenyezi mungu tutapata matokeo.
Endapo matokeo hayatakuwa mazuri ingawa hilo silitegemei sana kwa namna tulivojipanga nje na ndani, basi tuwape moyo wachezaji na sio kukimbilia kwenye mitandaoni na kuanza kashfa.
Kwenu wachezaji, tunakuja kuwashangilia mwanzo mwisho leo, jitumeni kama mlivofanya kule Morroco. SIMBA NGUVU MOYA.