Benchika, tuna imani kubwa sana na wewe leo, Simba Nguvu Moja

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Tunakwenda uwanjani kwa sababu yako Benchika, sio kwa sababu ya Ahmed Ally na viongozi wake.

Tunakuja uwanjani kuishangilia Simba coz umetushawishi sana, soka letu limebadillika, tunakuombea kwa mungu tupate ushindi leo ili kufufua matumaini ya kusonga mbele.

Ombi langu mashabiki na wanachama, mimi kiongozi wenu hapa jamiiforums mpira una matokeo matatu 3, hatusemi kuwa ni lazima Wydad afe leo, hapana, ila kwa idhini ya mwenyezi mungu tutapata matokeo.

Endapo matokeo hayatakuwa mazuri ingawa hilo silitegemei sana kwa namna tulivojipanga nje na ndani, basi tuwape moyo wachezaji na sio kukimbilia kwenye mitandaoni na kuanza kashfa.

Kwenu wachezaji, tunakuja kuwashangilia mwanzo mwisho leo, jitumeni kama mlivofanya kule Morroco. SIMBA NGUVU MOYA.
 
Leo jambo ni moja tu sisi wanasimba matokeo ya leo ni ushindi pekee ndio jambo tunalotaka kwa sasa. Tofauti na hapo wachezaji mizigo fyeka na viongozi mzigo fyeka hatutaki blablaa leo kwa mkapa tutakua na sura za mbunzi
 
Imani gani?
Mpira sio imani mpira ni investiment

Huwezi kupanda embe uvune papai

Ulifanya investment yenye tija utaacha mambo ya imani

Simba Nguvu Moja
 
Leo jambo ni moja tu sisi wanasimba matokeo ya leo ni ushindi pekee ndio jambo tunalotaka kwa sasa. Tofauti na hapo wachezaji mizigo fyeka na viongozi mzigo fyeka hatutaki blablaa leo kwa mkapa tutakua na sura za mbunzi
Maneno haya ungeandika kama mnacheza na Jwaneng, lakini Wydad hata kama msimu huu ni wabovu lakini mbungi itakuwa ya kukata na shoka, lolote linaweza kutokea.
 
Back
Top Bottom