Bended knee

Hivi jamani hizi dedication lazima ziwe nyimbo za nchi za Magharibi (au Bara Arabu)?

Sijawahi sikia dedication ya mchiriku mbona?
 
Tf habari za nyumba ndogo aise. Mbona nimekuja kwako nikakukosa
 
Tf habari za nyumba ndogo aise. Mbona nimekuja kwako nikakukosa
Khaaa!!! Nilikuwa nimeenda Tandale kuangalia nyumba ya kupanga bahati nzuri nimeiona, kodi nafuu sana laki moja kwa mwaka
 
QUOTE=The Finest;2681788]Khaaa!!! Nilikuwa nimeenda Tandale kuangalia nyumba ya kupanga bahati nzuri nimeiona, kodi nafuu sana laki moja kwa mwaka[/QUOTE]
Si ni huko huko wanakupa ile PHD ya heshima ya masuala ya mapenzi au
Maana nasikia umemaliza thesis yako ndo unasubiri tuu sherehe rasmi
Lols
 
Gaijin that is not possible... Inaruhusiwa kuomba mtu akufanyie dedication??? If YES... Naomba dedication toka kwako ya Msondo..

Hilo umepata ngoja nimwage lyrics


"Kaka Haji wee, unafanya vibaya weee, Kaka Haji wawalia wenzio
Donge lote ukanipa kidogo mkononi kuonja, donge lote ukanipa 'aha aha aha'
Huo mtende unachanua, huo mtende unachanua, wakati wa kuchanua huchanua chanu chanu chanu chaa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…