Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi jamani hizi dedication lazima ziwe nyimbo za nchi za Magharibi (au Bara Arabu)?
Sijawahi sikia dedication ya mchiriku mbona?
Gaijin kama huu hapa chiniHivi jamani hizi dedication lazima ziwe nyimbo za nchi za Magharibi (au Bara Arabu)?
Sijawahi sikia dedication ya mchiriku mbona?
Do the needful uone members tutavofurahia....
is it bad???
Hivi jamani hizi dedication lazima ziwe nyimbo za nchi za Magharibi (au Bara Arabu)?
Sijawahi sikia dedication ya mchiriku mbona?
Hahaha!!! Utadhani sijui amekula nini lolHayo macho hahahaha .........
Lol!!! Kuna haja ya kuwa Invisible duh sijui how do you trace my markssasa apo Tf si ndo wataka kuwa kigeu geu......
Mi' sina wa 'kumdedicatia' sasa.
Ila nikimpata namtupia moja ya msondo
Hahaha!!! Utadhani sijui amekula nini lol
Khaaa!!! Nilikuwa nimeenda Tandale kuangalia nyumba ya kupanga bahati nzuri nimeiona, kodi nafuu sana laki moja kwa mwakaTf habari za nyumba ndogo aise. Mbona nimekuja kwako nikakukosa
Hahaha!! Gaijin unajua kuchunguza weweYale macho kungekuwa na viashiria vyengine tu ningesema ni "mwenzetu" .........hahaha
Ila ujumbe inaonyesha anau feel vibaya
Gaijin that is not possible... Inaruhusiwa kuomba mtu akufanyie dedication??? If YES... Naomba dedication toka kwako ya Msondo..