Bended knee

Hivi Gaijin wakati wa kucheza ikifika hapo watu huwa kweli wanafuata hayo maaneno kivitendo lol!!
 
Please do the needful nisikie na sauti yake...... Yaani maneno yamenifanya nihisi nimekosa uhondo mwenyewe...
 
Hivi Gaijin wakati wa kucheza ikifika hapo watu huwa kweli wanafuata hayo maaneno kivitendo lol!!

Hapo ikifika unachanua kimchezo.....kama unaenda kasi hapo unabadili mapigo unaenda kufuata neno baada ya neno. chanu chanu chaa 🙂 lol

Kisha ukute baada part hiyo inaunganishwa na

"daktari huyo yuwaja, daktari huyo yuwaja, aja kitia dawa kidonda" hahaha ....
 
Gaijin Gaijin.........unanifanyia makusudi naona.....
 
Tobaaa makusudi ya nini tena?

kwani ile dedication ya mwanza kwenye hii thread haikuwa kwa ajili yako? 😀

hapana,
ila ulipoimba hizo nyimbo zako
za 'kuchanua chanu
na daktari yu waja......akili yangu imevurugika..
natafuta ile apple nyeupe now na natafuta pm yako siioni..lol
 
hapana,
ila ulipoimba hizo nyimbo zako
za 'kuchanua chanu
na daktari yu waja......akili yangu imevurugika..
natafuta ile apple nyeupe now na natafuta pm yako siioni..lol

Bee yupo wapi aone gunia la mkaa limetupwa huko! hahaha

Boss lazima tuenzi utamaduni wetu ati .....

"mwiba ule pale, naogopa kujichoma mie
Pembeni kuna mwiba, naogopa kujichoma mie

Boss nipe panadol naona homa weee
Boss nipe panadol naumwa homa

wanaona donge wee, wanaona donge wee
hata akiwa kilema, nimempenda mwenyewe
hata akiwa nachongo, nimempenda mwenyewe
hata akiwa hawezi, nimempenda mwenyewe
hata akiwa kibutu, nimempenda mwenyewe

lol
 
mwalimu umenikumbusha kuruka kamba na hiyo line ya mwisho,lol. saa hizo kisketi changu nimekikunja kunja kisinikoseshe, kwa raha zangu. today,i wish i was 10 yrs old

an ipad for you....seriously....
hiko kipande cha 'Boss nipe panadol'
nitaota usiku lol
 
mwalimu umenikumbusha kuruka kamba na hiyo line ya mwisho,lol. saa hizo kisketi changu nimekikunja kunja kisinikoseshe, kwa raha zangu. today,i wish i was 10 yrs old

Hehehe mwaya mwenzio hukusanya all my nieces nikajifungia uwanjani nikacheza. ......na hupania sketi uzuri sana.

You only live once, jipe raha ati :]]
 
an ipad for you....seriously....
hiko kipande cha 'Boss nipe panadol'
nitaota usiku lol

hahahaha Bee yupo wapi weee amuone Boss leo!

Boss umeombwa panadol utaota usiku, jee ukiombwa banduki si utaweweseka kabisa! huuuuuh
 
hahahaha Bee yupo wapi weee amuone Boss leo!

Boss umeombwa panadol utaota usiku, jee ukiombwa banduki si utaweweseka kabisa! huuuuuh

panadol sio ndio hiyo hiyo bunduki..?
kumbe mimi nimetangulia kwa kutafsiri lol
 
panadol sio ndio hiyo hiyo bunduki..?
kumbe mimi nimetangulia kwa kutafsiri lol

Hahahh .........looh hatari!

Kumbe ina maana sawa eee........coz moja meona inaponyesha moja inauwa 😛 😛

Ila inabidi kuanzia sasa nifanyie censorship maana wasije watu zaidi wakaota
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…