Bendera ipepee nusu mlingo kuwaenzi waliouawa kwenye maandamano

Bendera ipepee nusu mlingo kuwaenzi waliouawa kwenye maandamano

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Waliouawa ni watu, wanastahili heshima. Kama Taifa tukubali makosa, bendera ipepee nusu mlingoti kuenzi ndugu zetu.

Wapo wanaojustfy vifo vya hawa ndugu zetu. Wengine wakisema walikuwa vibaka nk. Niwakumbushe, Morogoro watu walienda kuchukua mafuta na tulihuzunika pamoja bila kujali walilofanya. Aidha si kweli kwamba walikuwa vibaka.

Natoa wito kwa bendera kupepea nusu mlingoti kuheshimu damu zilizopotea zikijaribu kuelezea injustice ya viongozi wetu.
 
Back
Top Bottom