Bendera kwenye gari binafsi

Bendera kwenye gari binafsi

kinehe

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
205
Reaction score
198
Habari wakuu,
Naomba kujua je ni kosa kisheria kuweka bendera/kupeperusha bendera kwny gari binafsi?
 
Mkuu, bendera ya nchi, chama, ya kidini au just bendera binafsi.

Hafu unaweka eneo gani? Mbele ya bonet au nyuma au juu?

Kwa mtu binafsi kuweka bendera ya nchi ni kosa. Nchi yoyote. Ni kama kuweka bendera ya nchi kwenye nyumba yako.

Hizi za chama naona ni kawaida tu.
 
Bendera ya taifa kwny bonet mbele
 
Mkuu, bendera ya nchi, chama, ya kidini au just bendera binafsi.

Hafu unaweka eneo gani? Mbele ya bonet au nyuma au juu?

Kwa mtu binafsi kuweka bendera ya nchi ni kosa. Nchi yoyote. Ni kama kuweka bendera ya nchi kwenye nyumba yako.

Hizi za chama naona ni kawaida tu.
WaMarekani benders kwenye nyumba binafsi, ofisi za binafsi, shule na magari kitu cha kawaida. Nakumbuka nilitembelea mara baada ya 9/11, kila gari ilikuwa inapeperusha bendera yao, na nilikuwa najiuliza, hivi vizee navyo vina vyeo gani serikalini na bado wanajiendesha wenyewe?
 
Asante sana kwa uzi huu, ningependa kujua pia kuhusu bendera binafsi, Je ninaweza nikafunga mbele kwenye bonet (au ndani ya gari)?
Je kufunga kwenye mlingoti mbele ya ofisi yangu?
 
Kama ni VX V8 mpya haina shida ukiweka ya CCM mbele pale. Ila kama ni VX kuu kuu watakusumbua maana serikali haitumiagi gari za zamani
 
Back
Top Bottom