Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Hizo nchi ziishie huko huko kwao.Nchi zamEast Africa ndio zinahiitaji zaidi Tanzania, Tanzania ndio kiungo cha nchi hizo zote, Kenya kapakana na Uganda, Tanzania na SS pekee, Tanzania imepakana na nchi zote za EA ukitoa Mgeni SS, so Umuhimu wa tanzania ni mkubwa hapo