Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Hizo nchi ziishie huko huko kwao.Nchi zamEast Africa ndio zinahiitaji zaidi Tanzania, Tanzania ndio kiungo cha nchi hizo zote, Kenya kapakana na Uganda, Tanzania na SS pekee, Tanzania imepakana na nchi zote za EA ukitoa Mgeni SS, so Umuhimu wa tanzania ni mkubwa hapo
Rejelea matukio yafuatayo....Kenya is the WHITE first class puppet ndio mana they are sick and die for the sake of pleasing muzungu, a slave in mind is a slave indeed.
Wewe unaumia nini, nyie Kenya ni Vibaraka Wa wazungu.Mnapenda kuwalamba waafrika Kusini matako huku hata hawana habari mnaexist. Majuzijuzi wamekua wakimfukuza makwao na hata kuwaua wenzenu.
Kenya is the WHITE first class puppet ndio mana they are sick and die for the sake of pleasing muzungu, a slave in mind is a slave indeed.
Kang'ura!Wakati babu zetu walipokuwa wanachinjana na kupigana risasi na mkoloni watanzania mlifanya nini zaidi ya kushirikisha wachawi ili wapambane na mzungu?Eti mna nyunyiziwa maji vifuani na mganga ili mwingie vita vya bunduki na rungu?Shenzi type,waoga nyie!Ndo maana hadi sasa hivi,miaka hamsini baadae,sisiemu wakiwaambia mvue suruali,nchi nzima mnafanya hima mkisema 'ndio baba!'Haha!Hamjui umwagikaji wa damu ulofanyika ili tupate uhuru!Nyie mlipiga magoti mkasema 'tunawaomba uhuru,tafadhari!'Kawaida yenu mkimwona mzungu utadhani mmemuona mungu!Ndo maana mtu akiongea kizungu mnapanic na kuwa mabubu.Wewe unaumia nini, nyie Kenya ni Vibaraka Wa wazungu.
Wewe sio mtanzania ndio maana unaona ni muhimu.Nope. Kuungana kwa EAC ni jambo la muhimu.
Kama mimi sio Mtanzania wewe sijui tuseme ni wa wapi......Wewe sio mtanzania ndio maana unaona ni muhimu.