Bendera ya Finland kusimikwa leo nje ya ofisi za NATO

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Putin aliivamia Ukraine na kuanza kuiba ardhi yao kama njia ya kuwaadhibu kwenye mipango yao ya kutaka kujiunga NATO, sasa ni rasmi amepata ujirani wa NATO utakaokatiza mpaka mrefu takriban kilomita 1,340 km, yaani mithili ya Dar hadi unapitiliza Kigoma au Mwanza.

Huyo Putin aliwahi kuwatisha Finland wasahau ndoto za kujiunga NATO kama wanaipenda ardhi yao kwamba atawafanya mabaya, haya ndio wameshajiunga sasa.

Povu ruksa kwa waumini wa dini mpya ya mtume Putin, niko hapa nawasubiri!

===========

Finland’s flag will be hoisted outside NATO headquarters on Tuesday when it becomes the newest member of the Western alliance, Secretary General Jens Stoltenberg has said.

“Tomorrow we will welcome Finland as the 31st member,” Stoltenberg told reporters on the eve of a historic meeting of NATO foreign ministers in Brussels.

Russian President Vladimir Putin’s all-out invasion of Ukraine last year upended European security and pushed Finland, and its neighbour Sweden, to drop decades of non-alignment and seek to join NATO’s protective umbrella.

Objections from Turkey and Hungary held up Helsinki’s bid for months, and are still blocking Stockholm before the parliament in Ankara cleared the final obstacle for Finland with a vote last week.

Completing the ratification in well under a year still makes this the fastest membership process in the alliance’s recent history.

Now all that is left are the last highly choreographed formalities at NATO headquarters in Brussels.

Finland’s foreign minister will hand over the formal accession papers to US Secretary of State Antony Blinken, the keeper of NATO’s founding treaty, and the country’s blue-and-white flag will be raised alongside those of its new allies.

Finland’s President Sauli Niinisto will speak at the event, Helsinki said.

“President Putin went to war against Ukraine with a clear aim to get less NATO,” Stoltenberg said.

“He’s getting the exact opposite.”
 
Masheikh hawataonekana kabisa kwenye uzi huu.
Shekhe anaingiaje kwenye hii mada??
Hivi Finland kujiunga na NATO ndo imuumize shekhe? Unatumia kiungo gani kufikiri? Hata kama uwapendi mashekhe lkn sio kuwaingiza hata wasipohusika!

Hivi huyo Finland kujiunga na NATO mashekhe watapata athari gani labda?
 
Ufini anaowategemea NATO ishajifia Bado kuzikwa.

NATO,,,,,Siku 400 hawana dalili lini wataikomboa mikoa mnne ya Uikrane.

NATO kiswahili tele mdomoni,mipango mingi kwenye makaratasi hakuna utekelezaji.

NATO Toka 2014,wanatoa mafunzo Uikrane,kinachoendelea huko hawarudishi hata Kijiji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukitaka kuona NATO inaumuhimu au la,,,,kabla hawajapeleka siraha,mkoa mmoja ulienda,,kichekesho Cha mwaka kinakuja,walipopeleka siraha,mikoa minne imeenda jumla.
 
Itatuchukua miaka mingi sana kuelewa kinachoendelea duniani kwa mifumo yao na plan zao kwa maslahi na kukuza uchumi

Wengine tutabaki kuwa washabiki tu ila ukiangalia kila kitu kina sababu zake
Putin hakuvamia tu Ukraine bali kuna mataifa nyuma yao

Kuna billionaires wengi Ukraine na wapo UK na USA pia na uraia wamepewa
Sasa hebu tungalie makala hii iliyotoka BBC na uchambuzi wao

Yaani huwa nashangaa nafurahi kuona watu wanajadili na kufurahi bila kujua kinachoendelea duniani yaani mnabaki kujiuliza kwa nini maharage yanapanda wakati tunalima?

Sasa [emoji636] mwaka jana wametengeneza billionaires 23
Na Shell wametengeneza profit ya $40b mara mbili ya mwaka uliopita na kufanya hii faida kubwa tangu waanze biashara miaka 150 iliyopita

Millionaires 300 wameongezeka [emoji636] peke yake
Na matajiri wa Ukraine wameporomoka na wa Russia pia

Sasa jiulize je kwanini yamekuwa haya mbona watu wametajirika wakati wamesema vikwazo kawekewa Putin?

Uchumi sio kitu cha kuongea tu ni mpana mno na mataifa wanajadili kila dakika

Screenshot_20230404_141713_Chrome.jpg
Screenshot_20230404_141630_Chrome.jpg
Screenshot_20230404_141128_Chrome.jpg
 
Ufini anaowategemea NATO ishajifia Bado kuzikwa.

NATO,,,,,Siku 400 hawana dalili lini wataikomboa mikoa mnne ya Uikrane.

NATO kiswahili tele mdomoni,mipango mingi kwenye makaratasi hakuna utekelezaji.

NATO Toka 2014,wanatoa mafunzo Uikrane,kinachoendelea huko hawarudishi hata Kijiji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukitaka kuona NATO inaumuhimu au la,,,,kabla hawajapeleka siraha,mkoa mmoja ulienda,,kichekesho Cha mwaka kinakuja,walipopeleka siraha,mikoa minne imeenda jumla.

Dah mpaka sasa ndio muumini wa kwanza wa dini ya mtume Putin kajitokeza, wengine wote walipita kimya....
Mwambieni ajichanganye ashambulie Finland sasa hata kwa kukosea njia, yaani NATO wamemtamani sana...
 
Itatuchukua miaka mingi sana kuelewa kinachoendelea duniani kwa mifumo yao na plan zao kwa maslahi na kukuza uchumi

Wengine tutabaki kuwa washabiki tu ila ukiangalia kila kitu kina sababu zake
Putin hakuvamia tu Ukraine bali kuna mataifa nyuma yao

Kuna billionaires wengi Ukraine na wapo UK na USA pia na uraia wamepewa
Sasa hebu tungalie makala hii iliyotoka BBC na uchambuzi wao

Yaani huwa nashangaa nafurahi kuona watu wanajadili na kufurahi bila kujua kinachoendelea duniani yaani mnabaki kujiuliza kwa nini maharage yanapanda wakati tunalima?

Sasa [emoji636] mwaka jana wametengeneza billionaires 23
Na Shell wametengeneza profit ya $40b mara mbili ya mwaka uliopita na kufanya hii faida kubwa tangu waanze biashara miaka 150 iliyopita

Millionaires 300 wameongezeka [emoji636] peke yake
Na matajiri wa Ukraine wameporomoka na wa Russia pia

Sasa jiulize je kwanini yamekuwa haya mbona watu wametajirika wakati wamesema vikwazo kawekewa Putin?

Uchumi sio kitu cha kuongea tu ni mpana mno na mataifa wanajadili kila dakika

View attachment 2576345View attachment 2576346View attachment 2576347

Hizi nadharia hazisaidii kitu kwa sasa, Putin kavamia kuiba ardhi ya Ukraine kwa kijisababu cha eti wanajiunga NATO, sasa nasemaje!!! NATO wanampumulia kwenye mpaka wenye urefu wa kilomita 1,300 km
 
Hakuna vita, hao wanajuana sana
Vita waumize uchumi wao kisa Ukraine itakuwa kicheko
 
Shekhe anaingiaje kwenye hii mada??
Hivi Finland kujiunga na NATO ndo imuumize shekhe?
Unatumia kiungo gani kufikiri?
hata kama uwapendi mashekhe lkn sio kuwaingiza hata wasipohusika!!
Hivi huyo Finland kujiunga na NATO mashekhe watapata athari gani labda?
Sijamaanisha masheikh kama viongozi wa kidini, la asha.
 
Summarize
Itatuchukua miaka mingi sana kuelewa kinachoendelea duniani kwa mifumo yao na plan zao kwa maslahi na kukuza uchumi

Wengine tutabaki kuwa washabiki tu ila ukiangalia kila kitu kina sababu zake
Putin hakuvamia tu Ukraine bali kuna mataifa nyuma yao

Kuna billionaires wengi Ukraine na wapo UK na USA pia na uraia wamepewa
Sasa hebu tungalie makala hii iliyotoka BBC na uchambuzi wao

Yaani huwa nashangaa nafurahi kuona watu wanajadili na kufurahi bila kujua kinachoendelea duniani yaani mnabaki kujiuliza kwa nini maharage yanapanda wakati tunalima?

Sasa [emoji636] mwaka jana wametengeneza billionaires 23
Na Shell wametengeneza profit ya $40b mara mbili ya mwaka uliopita na kufanya hii faida kubwa tangu waanze biashara miaka 150 iliyopita

Millionaires 300 wameongezeka [emoji636] peke yake
Na matajiri wa Ukraine wameporomoka na wa Russia pia

Sasa jiulize je kwanini yamekuwa haya mbona watu wametajirika wakati wamesema vikwazo kawekewa Putin?

Uchumi sio kitu cha kuongea tu ni mpana mno na mataifa wanajadili kila dakika

View attachment 2576345View attachment 2576346View attachment 2576347
 
Summarize
Ninavyoona ni Uchumi na siasa zaidi
Wamewamaliza matajiri wakubwa wa Ukraine na Urusi na ndio lengo lao kubwa

Kuwa na hela nyingi unakuwa na nguvu zaidi
Kuhusu mauwaji yanayotokea wao hawajali hilo kama [emoji631] asivyojali kwa raia wake kwa kuuza silaha kwa wananchi kama njugu

Kila siku US wanakufa watu 110 na 200 kujeruhiwa kwa bunduki na hiyo ndio biashara kubwa inayoingiza kipato na hawajali nani anakufa

Siwezi kushangaa kama wamewadhoofisha matajiri wa Ukraine ili wasiwe na nguvu serikalini

Labda unajua zaidi mkuu utanisaidia
Maana kila leo makampuni makubwa yanazidi kutajirika na kutupandishia bei
Kwa hiyo wao hii vita inawanufaisha makampuni ya mafuta na Gas
Tarehe moja tena wametupandishia umeme
 
Back
Top Bottom