Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Bendera ya maombolezo ya Imam Hussain (AS) kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji imepandishwa rasmi juu nchini Tanzania ikiwa ni ishara ya kuanza kwa mwezi mtukufu wa Muharram.
Sherehe hiyo ilifanyika Jumatano jioni, tarehe 17 Juni 2026, katika msikiti wa Ghadir Kigogo Posta Dar es Salaam huku ikihudhuriwa na umati mkubwa wa mazuwwari na wakazi wa eneo hilo. Hafla hiyo ilijaa mazingira ya huzuni, dua na kuwakumbuka Mashahidi wa Vita vya Karbala wakiongozwa na Imam Hussein (AS).
Kupandishwa kwa bendera nyeusi ni desturi inayofanyika kila mwaka katika maeneo matakatifu ya Kiislamu kuashiria mwanzo wa kipindi cha maombolezo ya Muharram, Mwezi unaokumbusha kujitolea, uadilifu na kusimama dhidi ya dhuluma kulikodhihirishwa na Imam Hussain (AS) katika tukio la Karbala.
JE UMEKULA KIAPO CHA UTII KWA IMAM WETU KIPENZI IMAM HUSSAIN AS. KAMA BADO UNASUBIRI NINI?
COUNT DOWN TO GLORY
THE ROAD TO KARBALA
ASHURA