Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Elewa kuwa Tanzania ni kati ya nchi kumi tu tu duniani ambazo bendera zake zina diagonal strip. Ukiacha Brunei utashangaa kuwa nchi zote zenye bendera diagonals, ni za uchumi wa hali ya chini sana; ingawa Tanzania na Namibia tunaweza kujitutumua kwenye kundi hilo, lakini nyingine zote ni za maisha ya mashaka mashaka tu.
Bendera za nchi nyingine zote ama ni za rangi moja kubwa, au zina horizontal bars au zina vertical vertical bars au zina aina fulani ya msalaba wa kujumulisha (+) au wa kuzidisha (X). Kuna nchi ambazo bendera zake ni mchangayiko wa makundi hayo, kwa mfano Panama
Mifano ya bendera zenye msalaba ni kama vile Burundi, UK, Sweden na Jamaica kama zionekanavyo hapa chini
Mifano ya bendera zenye vertical bars ni pamoja na Ufaransa,Senegal, Romania na Nigeria kama hizi hapa
Mifano ya Bendera zeny horizontal bars ambazo ndizo nyingi zaidi dunaini ni pamoja na Kenya, Uganda, USA, na Ujerumani hapa chini
Bendera zenye rangi moja kubwa ni kama vile zile za Somalia, China, Uturuki na Saudi Arabia
Club ndogo special ya nchi zenye bendera za diagonal duniani ambamo Tanzania ni memba wake ni pamoja na:
(1) Republic of Congo -Tangu mwaka 1960
(2) Democratic Republic of Congo- tangu mwaka 1963 (ingawa ilibailishwa mwaka 197i lakini wakairudia tena mwaka 2006
(3) United Republic of Tanzania -Tangu mwaka 1964
(4) Brunei Darussalam- Tangu mwaka 1959
(5) Trinidad and Tobago -Tangu Mwaka 1962
(6) Solomon Islands -Tangu mwaka 1978
(7) St. Kitts and Nevis -Tangu mwaka 1983
(8) Namibia - Tangu mwaka 1990
(9)Bhutan -Tangu mwaka 1969
(10)Papua New Guinea
Ingawa kuna nchi nyingine, kwa mfano Marshall Islands na Seychelles, ambazo bendera zake zina pia diagonals, zao ziyo perfect diagonal kama ionekanavyo hapa