Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neccm walivyo na akili mbovu hawakawii kusema hao wananchi wakamatweSasa hapo sijui watamshitaki nani!!
Anaanda cha kumjibu tundu lisuKwani bichwa yuko wapi leo?
Hivi ni kweli unahisi kuna imetumika hapo?Mbombo i ngafu ,Kazi ipo
Wafuasi wa ACT wazalendo Tarime waungana na CHADEMA kumpokea Tundu Lissu wakiwa na uniform zao na bendera zao.
Ni dhahiri sasa Tundu Lissu anawachezesha CCM na NEC segere
Hii ni kidalipo
Kama ni ndumba au Mzizi basi huu mzizi ni somba somba na Mzizi wa kimbunga
Tundu Lissu akiwa Rais atupeleke kwenye huu mzizi wa kujaza watu bila matangazo ya television na kuswaga kama punda
Huyu Mganga wake anatumia uchawi gani kushawishi watu wamfuate Lissu uwanjani na barabarani, Hii ni dawa ya nchi gani?
Sheria zao za kitoto waache wakae nazo, watu wenye mvuto wataungana kwenye sanduku la kura.Ndugu yangu ni hii roho mbaya tu ya ccm ya kupenda kudhibiti kila kitu. Hebu jiulize kwanini wanazuia vyama kuungana??.......kuungana ni zaidi ya kutiliana mikataba na kuipeleka kwa msajili kama lilivyo takwa la kisheria.
Kwa ubaya alotufanyia Magufuli kwa miaka 5 naamini kuwa hata ndani ya CCM kindakindaki wapo wanaomuunga mkono lissu. Hivyobasi kuepuka sheria ya hovyo inayozuia vyama kuungana nashauri waendelee kutumia njia zinazo ikwepa sheria huku wakionesha kwamba wameungana kama kwenye bendela, itapendeza zaidi wakipata wana CCM wajasili wasiopendezwa na utawala huu wakajumuishwa hata jukwaa kuu wakiwa na uniform zao- itasaidia kujenga ujasiri kwa waoga. Kuungana ni zaidi ya kuandikishana, naweza nisiseme kwa maneno nikakuunga mkono kwa matendo. Matendo ni kila kitu.