Uchaguzi 2020 Bendera za ACT-Wazalendo zapepea kwenye mkutano wa Tundu Lissu Tarime

Chama mfu Ni kile kinachobebwa na dola badala ya umma. Tatizo la jiwe alitukana mamba badala ya kuwasikiliza watz akamsikiliza yule mrefu wa Rwanda akampotosha
 
Hivi ni kweli unahisi kuna imetumika hapo?
 
Tunapoelekea usishangae na wafuasi wa CCM kuanza kumpokea Lissu huku wakiwa na bendera zao au uniform.

Nyota ya Lissu kwa sasa inawaka.
 
Sheria zao za kitoto waache wakae nazo, watu wenye mvuto wataungana kwenye sanduku la kura.
Akina Polepole walitaka wajue mapema ili wakwamishe wameshachelewa. Ni TAL tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…