Elections 2010 Bendera za Chadema zaibwa mtaa mzima mjini Arusha !!!


Sasa CCM wana hofu gani REDET wamewatabiria ushindi? Makaba amesikika leo Wapo Radio akitambia matokeo hayo. Arusha wako nchigani vile? Redet nadhani ni tawi la CCM. Chadema wasilaze damu, songeni mbele tu. Ushindi hauko kwenye bendera na vipeperushi. Kijana John Mnyika jana amechambua vizuri sana ilani ya CHADEMA tena akidodoswa na CCM damu Chuwa kwa muda mfupi kabisa pale ITV.Ile imesaidia sana wale wasiotaka kusikia wamesikia na kumwona Mnyika akitema cheche za sera. Maswali mengi wanayouliza mitaani yamejibiwa pale ingawa haukutolewa muda wa kuulizwa na watazamaji.
 

haina shida kwani arusha nani anashinda anajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…