Elections 2010 Bendera za Chadema zaibwa mtaa mzima mjini Arusha !!!

Elections 2010 Bendera za Chadema zaibwa mtaa mzima mjini Arusha !!!

Gari la CHADEMA lishapita kutangaza kuwa bendera zake sasa hivi ni deal.
Kuna mchizi wangu kanipigia simu nikiwa job anataka kunipa mwekundu achukue bendera yangu ya CHADEMA iliyoko nje ya ghetto yangu nikamchomolea. Kanipigia tena kapanda dau hadi mbao. Jioni nikitoka job nataka nikamsikilizie. Kama na yeye yuko kwenye hilo deal la kuiba hizo bendera, hakiyanani nitamnyonya macho.
Lakini toka jana, stori kitaa ni kwamba bendera za CHADEMA zinatembea hadi kwa 30. Leo ndio nutaprove.

Sasa CCM wana hofu gani REDET wamewatabiria ushindi? Makaba amesikika leo Wapo Radio akitambia matokeo hayo. Arusha wako nchigani vile? Redet nadhani ni tawi la CCM. Chadema wasilaze damu, songeni mbele tu. Ushindi hauko kwenye bendera na vipeperushi. Kijana John Mnyika jana amechambua vizuri sana ilani ya CHADEMA tena akidodoswa na CCM damu Chuwa kwa muda mfupi kabisa pale ITV.Ile imesaidia sana wale wasiotaka kusikia wamesikia na kumwona Mnyika akitema cheche za sera. Maswali mengi wanayouliza mitaani yamejibiwa pale ingawa haukutolewa muda wa kuulizwa na watazamaji.
 
usiku wa kuamkia leo katika mtaa wa makao mapya mjini arusha, bendera na vipeperushi vyote vya chadema vilivyokuwa vikipepea vimeibwa na watu wasiojulikana...!!! Nimepita eneo hilo leo asubuhi kwenda kazini na kushuhudia hali halisi. Pia niliongea na baadhi ya wakazi/wafanyabiasha wa mtaa huo kwa kina zaidi kulikoni, jibu likawa hilo hilo - bendera zote za chadema zimeibwa !!!!

Kifo cha nyani , .............. !!!!!!

haina shida kwani arusha nani anashinda anajulikana
 
Back
Top Bottom