Bendera za mataifa ya nchi za Scandinavia

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629

Huu ndio muundo wa bendera za mataifa ya ukanda wa “Scandnavia” yanayopatikana Kaskazini mwa bara la Ulaya...

Muundo wa bendera za mataifa una upekee kutokana na kulingana huku rangi pekee zikionekana kutofautisha bendera hizo...

Kila bendera miongoni mwa mataifa hayo ina alama ya masalaba katikati ukiwa umelala kwa ulalo...

Nini kimekuvutia katika muundo wa bendera hizo??
 
dah sikuwahi kufikiria haya, kwamba hizi nchi za ukanda huo zina alama za msalaba
 
Finland na Iceland siyo sehemu ya Scandinavia. Scandinavia ni Denmark, Norway na Sweden. Lakini ukijumuisha zote kwa pamoja zinafahamika kama Nordic Countries. Hata shirika la ndege la SAS linaundwa na Denmark, Norway na Sweden.
 
Asante kwa elimu
 
zilivokaribisha waislam lazima siku moja wataanza kupga kampen kuondoa alama hiyo kwene bendera,
Majini na msalaba havipatani kabisa
 
Wanabadilishana rangi lakini structure ni ileile
 
Hakuna kilichonivutia ila nimepata tafsiri kwa nini wanasemaga kuwa Australia na Scandinavia yote ni mali ya malkia wa Uingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…