Allah ni Baalmungu unamjua Wewe.
There is no god but Allah
Elimu na darasa lako sijalipokea wala kulikubaliAllah ni Baal
Mungu ni mwenye kutoa chaguo ndio maana kakupa option ya kufuata yy au shetani na kakuwekea na madhara
Ukiona Huyo mungu wako analazimisha watu wamfuate shituka Mungu alitaka binadam awe tofauti na mnyama
Mungu anahubiri amani sio jihadiElimu na darasa lako sijalipokea wala kulikubali
😂😂😂Mungu anahubiri amani sio jihadi
Mungu anampa mtu uhuru sio kulazimisha
Mungu wa kweli hafundishi chuki
Mungu sio muislam yy hana dini
Mungu haruhusu kuongea uongo
Mungu hahitaji binadamu kujitetea
Mungu hatoki uarabuni
Mungu haongei kiarabu
Mungu anasikia lugha zote
mkuu jiweke huru fanya uchunguzi wako mwenyeweAiseee
😂😂😂
Kila Mtu ana uhuru wa kufanya analolitaka, so we Baki ulivyo na Mimi ni Baki kama nilivyo.mkuu jiweke huru fanya uchunguzi wako mwenyewe
Usicheke najua ni ngumu kwa sababu upo dini inayotishia kukuua kama ukijaribu kumfuata mungu wa kweli.
Ondoa chuki uliyofundishwa tangu utotoni
Mungu ni upendo
Hapana mkuu,,,Kila Mtu ana uhuru wa kufanya analolitaka, so we Baki ulivyo na Mimi ni Baki kama nilivyo.
Aisee! Sikuwahi kujua hiiView attachment 2943061
Huu ndio muundo wa bendera za mataifa ya ukanda wa “Scandnavia” yanayopatikana Kaskazini mwa bara la Ulaya...
Muundo wa bendera za mataifa una upekee kutokana na kulingana huku rangi pekee zikionekana kutofautisha bendera hizo...
Kila bendera miongoni mwa mataifa hayo ina alama ya masalaba katikati ukiwa umelala kwa ulalo...
Nini kimekuvutia katika muundo wa bendera hizo??
Disobedience is disobedienceKila Mtu ana uhuru wa kufanya analolitaka, so we Baki ulivyo na Mimi ni Baki kama nilivyo.
ulitoka kwasababu unafata watu!!Nilitoka huko huko aisee nina enjoy sana huku niliko,